hMnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
Hata kama hakuna chanzo cha uhakika cha hii habari, binafsi sitashangaa sana kama ikiwa ni kweli kwa sababu Mugabe ni mtu wa kurusha madongo sana hususan dhidi ya viongozi wa nchi za Magharibi.
Siyo Waganda tu. Hata Wabongo. Hivi umeona anavyopewa heko na watu humu JF? Halafu cha kushangaza zaidi ni kwamba anaungwa mkono mpaka na wanawake (at least kulingana na IDs zao humu na jinsi wanavyojiwasilisha).
Ndo maana nimekuwa nikisema kwamba Waafrika wengi sana ni wepesi wa kuhadaiwa na kuvutika. Jambo dogo tu hawakawii kukupachika sifa kede kede...'fulani ni kichwa'....'fulani ni jembe'.
Viwango vyetu ni vya chini sana sisi.
Hivi Rais wa JMT alijibu vipi vile interview ya CNN:flypig:
Hivi Rais wa JMT alijibu vipi vile interview ya CNN:flypig:
Mwana wa Ngabu, mimi huwa naenda mbali sana hadi kudhani kuwa labda waafrika tuna hitlafu katika akili zetu.
Hebu fikiria tu hata hilo la nguo fupi, mtu anaitwa shujaa eti kwa kuzuia mtindo fulani ya mavazi!!, Ndiyo. Kwani nguo fupi ni nini hasa zaidi tu ya mitindo ya mavazi!??, ndio ushujaa wa Afrika huo!??, hivyo tu!!!.
Already long ago, from when we sold our vote to no man, the People have abdicated our duties; for the People who once upon a time handed out military command, high civil office, legions - everything, now restrains itself and anxiously hopes for just two things: bread and circuses
Wivu utakutia Mimba....
.. zee zima halina adabu.