Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

koko liikooooo Jongweee The Only true son of Africa Left.....
 
Hakika uzee dawa-hayo Maneno huongezi hata kidogo
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Where is the source of this info?
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe.

Salute kwako uncle mugabe..
Hee, inaelekea Mugabe sio tu dikteta, bali pia ana uelekeo wa kuwa gay. Maana Obama akikubali tayari ndoa hapo!
 
"if obama wants me to allow gays marriage in zimbabwe,i should marry him first to show the good example"-robert mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

pure african man......na huu ndo ujasiri unaotakiwa,
 
Mugabe
 
Attachments

  • 1392990318067.jpg
    1392990318067.jpg
    25.7 KB · Views: 137
  • 1392990365437.jpg
    1392990365437.jpg
    21.2 KB · Views: 138
Mkuu Kiranga, waafrika tutaendelea kuwa wa mwisho kwa kila kitu hadi kiyama kwa sababu inawezekana kabisa akili zetu zina hitlafu.
Hiyo kauli ina nini cha maana hadi isifiwe?, bora hata angejenga hoja nzuri juu ya huo ushoga anaopinga kuliko kutoa kauli ya kipuuzi tu isiyo na staha, Ni ajabu kwa mpinga ushoga kutaka kuonyesha mfano kwa kuoa mwanaume mwenziye halafu wapinga ushoga wenzie wakashangilia.

Kweli huyu jamaa amewateka akili watu wa kauli za kipuuzi tu zisizokuwa na tija yeyote kwa taifa lake.
Waafrika wengi kuwapoteza lengo ni kazi rahisi sana.

Watajie habari za wakoloni, wazungu, utumwa, new world order, ushoga, maadui wa nje, maadui wa ndani, wasaliti, waliokosa uzalendo etc etc.

Utawaibia mabilioni kwa mabilioni huku wanakupigia makofi.

Wengi wanataka waigizaji na vitongozi.

Hawataki viongozi.

Sasa mtu kama Mugabe baada ya mauaji yote na economic mismnagement aliyoifanya Zimbabwe naye ni wa kusifiwa?

Kisa?

Kawatongoza waafrika masikini vizuri na kujipa image ya mpinga wazungu!

Wanaomsifia Mugabe wanajua jinsi gani alivyoua wa Ndebele?

Someni Gukurahundi

Gukurahundi - Wikipedia, the free encyclopedia
 
mugabe kidume cha africa heri kula panya kukiko kutawaliwa mbona hata TZ senti ilikuwa ikitumika kabla ya uhuru na tuna wakimbizi mombasa wanaotoka zanzibar tangu 2000 LIVE LONG MUGABE
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

source mkuu maana usije ukawa umejitungia
 
Mkuu Kiranga, waafrika tutaendelea kuwa wa mwisho kwa kila kitu hadi kiyama kwa sababu inawezekana kabisa akili zetu zina hitlafu.
Hiyo kauli ina nini cha maana hadi isifiwe?, bora hata angejenga hoja nzuri juu ya huo ushoga anaopinga kuliko kutoa kauli ya kipuuzi tu isiyo na staha, Ni ajabu kwa mpinga ushoga kutaka kuonyesha mfano kwa kuoa mwanaume mwenziye halafu wapinga ushoga wenzie wakashangilia.

Kweli huyu jamaa amewateka akili watu wa kauli za kipuuzi tu zisizokuwa na tija yeyote kwa taifa lake.

Mkuu wangu Mjuni hiyo kauli ya Mugabe mpinga ushoga kutaka kuonesha anavyopinga ushoga kwa kumtaka Obama awe gay partner wake imenipa maswali mpaka nikajiuliza kwamba ingawa Mugabe ni controversial, lakini hii kauli kaisema yeye au ni watu tu wamemlisha maneno?

I don't see any major news website carrying this story. I would like to see some links from reputable sources before giving this news proper credibility.

Inawezekana ni yale yale ya watu kutengeneza habari halafu forums zinawaka moto.

Or maybe that's just the natural skeptic in me.
 
source mkuu maana usije ukawa umejitungia

Duh,

Nilivyokuwa namjibu Mjuni Lwambo nilikuwa sijakusoma mkuu.

Sasa napitia posts za karibuni naona kwamba kumbe hili swali la authenticity ya hii habari si langu tu, kuna wengine wameliona.

Hatuwezi kupewa habari tu tukaimeza nzima nzima bila kuichunguza kama ni ya kweli au vipi.

Nimegoogle combinations kadhaa za hii habari sijaona lolote zaidi ya vi blog, vi website vya wanaija na twitter/ facebook.

Kama hii habari si ya kweli, itadhihirisha jinsi watu walivyo rahisi kuamini mambo bila kuthibitisha.
 
Kama kweli katoa hii kauli, basi ni miongoni mwa kauli nyingi tu za kipuuzi zilizowahikutolewa na watawala wa Afrika.
Kiongozi mwenye busara atajikita katika kutatua matatizo ya nchi yake na wala sio katika kauli zisizokuwa na tija kama hizo, halafu watu wanataka aitwe shujaa.

Muimla mwenzie Museven yeye amegeuka ghafla kuwa kipenzi cha waganda kisa amepiga marufuku wanawake kuvaa nguo fupi.
Mkuu wangu Mjuni hiyo kauli ya Mugabe mpinga ushoga kutaka kuonesha anavyopinga ushoga kwa kumtaka Obama awe gay partner wake imenipa maswali mpaka nikajiuliza kwamba ingawa Mugabe ni controversial, lakini hii kauli kaisema yeye au ni watu tu wamemlisha maneno?

I don't see any major news website carrying this story. I would like to see some links from reputable sources before giving this news proper credibility.

Inawezekana ni yale yale ya watu kutengeneza habari halafu forums zinawaka moto.

Or maybe that's just the natural skeptic in me.
 
aiseeee......nimecheka sana kwa huo msimamo! wanaombeza Mugabe mi nawaita WAPUUZZI TUU! sijui nani kawatuloga waafrika!!.....hivi hamjui kuwa sababu kubwa ya kuteseka kwa Wazimbabwe ni hao hao wazungu mnaotaka MUGABE awaabudu kama wanavyofanya viongozi uchwara wa kiafrika? vikwazo alivyowekewa bila sababu za msingi ndio sababu kubwa ya kudorola kwa uchumi wa Zimbabwe! ukiwa na akili timamu huwezi kukubali kufanyiwa mambo ya kipuuzi eti usaidiwe....hicho ndo kina Nyerere na Mugabe wanapinga!
 
Kama kweli katoa hii kauli, basi ni miongoni mwa kauli nyingi tu za kipuuzi zilizowahikutolewa na watawala wa Afrika.
Kiongozi mwenye busara atajikita katika kutatua matatizo ya nchi yake na wala sio katika kauli zisizokuwa na tija kama hizo, halafu watu wanataka aitwe shujaa.

Hata kama hakuna chanzo cha uhakika cha hii habari, binafsi sitashangaa sana kama ikiwa ni kweli kwa sababu Mugabe ni mtu wa kurusha madongo sana hususan dhidi ya viongozi wa nchi za Magharibi.

Muimla mwenzie Museven yeye amegeuka ghafla kuwa kipenzi cha waganda kisa amepiga marufuku wanawake kuvaa nguo fupi.

Siyo Waganda tu. Hata Wabongo. Hivi umeona anavyopewa heko na watu humu JF? Halafu cha kushangaza zaidi ni kwamba anaungwa mkono mpaka na wanawake (at least kulingana na IDs zao humu na jinsi wanavyojiwasilisha).

Ndo maana nimekuwa nikisema kwamba Waafrika wengi sana ni wepesi wa kuhadaiwa na kuvutika. Jambo dogo tu hawakawii kukupachika sifa kede kede...'fulani ni kichwa'....'fulani ni jembe'.

Viwango vyetu ni vya chini sana sisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom