Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Eti kiboko ya wazungu?misifa ya kijinga kabisa and seems huijui Zimbabwe inawezekana haikuwa developed world like US lakini pia haikuwa third world like other African States,kaua waafrica wenzake kuliko mkoloni na millions of Zimbabweans wameishia nje Kukimbia njaa na umaskini,democracy kutawala 40 yrs?matatizo mengine Africa ni ya kujitakia..endeleeni kumsifia huku njaa ikiwamaliza

Bora democracy isiwepo kulikoni kuyaruhusu mazungu yaendelee kuhodhi Mali nyingi na ardhi kubwa Zimbabwe!
 
Wewe ndugu Yangu uliesoma Ng'wamapalala Bado hujajenga hoja ya kumkandamiza shujaa wetu Mugabe!

Na hayo mazungu yaliyokuzungu ndio mamtu mabaya kabisa yaliyoiingiza Zimbabwe ktk matatizo yote! Kwasababu mazungu ndio chanzo cha matatizo yote ya Zimbabwe! Mugabe ni shujaa Wa mambo yote, sio ktk Hiyo sentesi Moja ya watu chumbani Km ulivyo sema!
Ndugu yangu Ntuzu siwezi kushangaa kusikia neno shujaa kwa sababu, sifahamu wewe unaposema Rais Mugabe ni shujaa unakuwa una maana gani kwa sababu hata hiyo sentesi aliyoisema kuwa wengine pia watamuona ni shujaa.

Sijengi hoja kumkandamiza bali najenga hoja kumchambua kama ni kiongozi anayekidhi haja/malengo ya sasa kwa ujumla kwa sababu kama hakidhi, inafaa awe kando ya uongozi wa Ofisi Kuu ya Nchi.

Sioni kama Zimbabwe inapiga hatua za kisiasa, kiuchumi na kijamii bali ninaiona Zimbabwe inayozama kwenye shimo la umasikini huku akisingizia nchi za Magharibi wakati the buck stops with him.

Kusema haya makosa siyo yangu bali yamesababishwa nchi za Magharibi ndiyo lugha inayotumiwa sana na viongozi wa nchi za Kiafrika kuficha mapungufu yao lakini hao hao mambo yao yakiwa ni mazuri huwezi ukawasikia wanasema haya ni mafanikio kutoka nchi za Magharibi.
 
Last edited by a moderator:
Kauua vp huo uchumi? Huo udikteta Wa Mugabe ukoje?

Mbona propaganda za wazungu Wa maghalibi zimekutawala sn? Mtu akikataa sera zako ndio anakua dikteta? Unajua chanzo cha mizozo yote ya Zimbabwe? Au unasema tu?

Huoni kwamba kufikia nchi inakuwa na noti ya matrilioni na hatimaye kuacha kabisa kutumia fedha yake ni dalili tosha ya uchumi tenge?

Huoni kwamba mtu aiyeamua kufia madarakani na kugoma kabisa kun'gatuka ni dikteta?

Wimbo wa kundeleza visingizio vya "propanda za magharibi" usiwatoe viongozi kwenye kushughulikia maendeleo ya kweli ya mataifa yao na kuleta demokrasia ya kweli. Kweli hakuna mwingine awezaye kutawala Zimbabwe ila Kibabu hiki kinachotakiwa kupumnzika?
 
Mnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
first World ya Wazimbabwe au ya walowezi. Nenda Kenya wanajisifia matajiri wakati mtu wa kawaida hana hata mita moja ya ardhi, I love Tanzania eti.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Where is the source of this info?
 
Ndugu yangu Ntuzu siwezi kushangaa kusikia neno shujaa kwa sababu, sifahamu wewe unaposema Rais Mugabe ni shujaa unakuwa una maana gani kwa sababu hata hiyo sentesi aliyoisema kuwa wengine pia watamuona ni shujaa.

Sijengi hoja kumkandamiza bali najenga hoja kumchambua kama ni kiongozi anayekidhi haja/malengo ya sasa kwa ujumla kwa sababu kama hakidhi, inafaa awe kando ya uongozi wa Ofisi Kuu ya Nchi.

Sioni kama Zimbabwe inapiga hatua za kisiasa, kiuchumi na kijamii bali ninaiona Zimbabwe inayozama kwenye shimo la umasikini huku akisingizia nchi za Magharibi wakati the buck stops with him.

Kusema haya makosa siyo yangu bali yamesababishwa nchi za Magharibi ndiyo lugha inayotumiwa sana na viongozi wa nchi za Kiafrika kuficha mapungufu yao lakini hao hao mambo yao yakiwa ni mazuri huwezi ukawasikia wanasema haya ni mafanikio kutoka nchi za Magharibi.

Ndugu yng Ng'wamapalala nchi za maghalibi ktk kadhia yote ya Zimbabwe Huwezi kuzitoa! Unazungumza yote Lkn unasahau Kua Zimbabwe imekua kwenye vikwazo tangu miaka ya 80 mpk Leo! Na vikwazo ndio kitu cha kwanza kuharibu uchumi Wa Zimbabwe na kuifanya irudi nyuma km unavyosema! Sasa nani Wa kulaumiwa ktk Hilo? Hao walioweka vikwazo Au Kiongozi Wa nchi?

Mugabe amekataa sera zao na wazungu wamekiuka mkataba walioingia na Mugabe wakati Wa uhuru Wa kuwalipa fidia wazungu wachache wanaomiliki ardhi kubwa na atimae wanafanya mpango ili Mugabe atoke madarakani bila wao kuwalipa wazungu wachache ili kuiachia ardhi kwa wazawa!

Sasa ktk Hilo nani Wa kulaumiwa?
 
Last edited by a moderator:
Huoni kwamba kufikia nchi inakuwa na noti ya matrilioni na hatimaye kuacha kabisa kutumia fedha yake ni dalili tosha ya uchumi tenge?

Huoni kwamba mtu aiyeamua kufia madarakani na kugoma kabisa kun'gatuka ni dikteta?

Wimbo wa kundeleza visingizio vya "propanda za magharibi" usiwatoe viongozi kwenye kushughulikia maendeleo ya kweli ya mataifa yao na kuleta demokrasia ya kweli. Kweli hakuna mwingine awezaye kutawala Zimbabwe ila Kibabu hiki kinachotakiwa kupumnzika?

Uchumi unaharibiwa na vikwazo vya wamaghalibi Au Wewe hujui Hilo?

Unataka atoke madarakani mumpe kesi zenu za kinafiki na mumpeleke Uhoranzi? Kwani Yeye Mjinga halioni Hilo?

Jitambue Mkuu!
 
Mkuu mbona we umekimbia TZ na haiko chini ya Mugabe? acha kuongea hayo maneno, mbona Ireland, Estonia, Romania na hata NZ ni watu waliosambaa zaidi na karibu waishe katika nchi zao na ziko poa tu? Kukimbia nchi kuna factor nyingi (ambazo hata wewe mtz) umeathiriwa. Mugabe is a hero (it may be doing wrong in the right direction)
Waafrika wengi wanashabikia yanayosemwa na vyombo vya magaribi. Huwezi kusema nchi ilikua first world wakati uchumi unamilikiwa na hao wazungu ilihali wananchi ni vibarua tu. Wengi waliokimbilia vibarua huko ugaibuni wamekubali kuwa vibaraka wa wazungu na huwaambii chochote kuhusu uwezo wa waafrika wenzao.
 
first World ya Wazimbabwe au ya walowezi. Nenda Kenya wanajisifia matajiri wakati mtu wa kawaida hana hata mita moja ya ardhi, I love Tanzania eti.

Huyo Koba anaongea tu! Sijui ardhi Yeye anaifikiriaje?
 
Last edited by a moderator:
Waafrika wengi wanashabikia yanayosemwa na vyombo vya magaribi. Huwezi kusema nchi ilikua first world wakati uchumi unamilikiwa na hao wazungu ilihali wananchi ni vibarua tu. Wengi waliokimbilia vibarua huko ugaibuni wamekubali kuwa vibaraka wa wazungu na huwaambii chochote kuhusu uwezo wa waafrika wenzao.

Watu hawaoni hayo Mkuu!

Zimbabwe uchumi wake ulikua umeshikwa na waganeni wachache wakati huo wazalendo walikua hoi vibarua na manamba ktk nchi Yao!
 
Eti kiboko ya wazungu?misifa ya kijinga kabisa and seems huijui Zimbabwe inawezekana haikuwa developed world like US lakini pia haikuwa third world like other African States,kaua waafrica wenzake kuliko mkoloni na millions of Zimbabweans wameishia nje Kukimbia njaa na umaskini,democracy kutawala 40 yrs?matatizo mengine Africa ni ya kujitakia..endeleeni kumsifia huku njaa ikiwamaliza

Mkuu mbona unazunguka sana? Nadhani unataka kusema Zimbabwe ikubaliane na ndoa za jinsia moja eh?
 
Nafikiri unajua kusoma so acha kulazimisha ambayo sijaandika na pia sina tatizo na ndoa za mashoga
 
Kizazi cha akina Nyerere hawa,hawapendi ujinga na wanakupa makavu live huku wakikutazama machoni straight!sio huyu mtu wetu anayewaambia wezi warudishe hela ili awasamehe.

ungetoa na elimu basi maana mwakani tu tunaenda kuchagua,nani sasa anawezakuwa kidume kama mugabe kama rais wa tanzania?mtuambiage basi
kama ni membe,sumay,migiro,slaa au lowaa.tujuzeni.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..
Mkuu wetu aliogopa kujibu kwani tungenyimwa misaada,Mugabe ni kiongozi pekee aliyebaki Afrika ambaye anaweza kuongea lolote kuhusu mataifa ya makubwa bila woga.
 
Woote tunasifu kauli ya kishujaa na kijasiri kwa OBAMA kuhusu ushoga, wewe unapinga?. Mwenzetu inawezekana na shoga wewe...

Mnamsifia mjinga huyo alichukuwa nchi ikiwa first world kaifanya third world na nusu ya wananchi wake wameishia ukimbizini kuwa manamba..poleni kwa ujinga
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Kasema lini na wapi? If possible tupia link hapa.
 
Ditto!

Kwa siku mbili tatu hizi Museveni kapewa plaudits na watu humu kwa kinachodaiwa kutia saini muswada wa sheria inayokataza wanawake nchini Uganda kuvaa nguo fupi.

Kaitwa mfano wa kuigwa, kiongozi imara, na sifa nyinginezo kama hizo.

Watu hawaoni ubaya wowote wa hiyo sheria na ghafla bin vuu ni kama wamesahau kama lijamaa ni lidikteta na just like that, with the stroke of a pen, limegeuka kuwa shujaa!!

Viwango vya Waafrika ni vya chini sana aisee.

Hata dictator anatenda mema na anahaki ya kusifiwa kwa hilo. Ushoga hatutaki na yeyote anaepinga ushoga tutamsifia kwa hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom