Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

Umemsikia MUGABE alichomwambia OBAMA.?

U miss the point Kiranga na mtu yeyoye makini atanilewa. Opposing this doesn't mean I don't need to use them, if kama idea na mitazamo ya kina Nyerere, Lumumba, Nkuruma etc ingeenziwa, maisha yasingekuwa hivi. Am willing to go back to our life hata Leo, lakini majority yenu ni wendawazimu mliotukuza umagharibi, sasa will I isolate myself? Hata familia yangu itaniona kichaa, coz I will preaching a dead minds zilizokwisha brainwashed na hao weupe.
 
Pan Africanism should embrace culture and values zetu.... Full stop. Lakini kama ni muumini wa western, definitely wewe ni mtumwa wa Mila na desturi za kimagharibi. Sometime I support Arabs and their extremist ideology, hawa wazungu ni mbwa na shenzi sana tu, hakuna Cha technologia wala nini, wote ubatili tu.View attachment 144385

Ukishaanza kuzipenda au kuziponda dhana fulani kwa sababu tu ni za magharibi, au kwa sababu tu ni za Afrika, unakuwa ushapotea katika lindi la kupenda au kuponda dhana kwa mapenzi ya pahala na si kwa uzuri au udhaifu wa dhana.

Magharibi kuna habari nyingi nzuri za kuigwa, na kuna habari nyingi mbaya za kutupwa.

Afrika kuna habari nyingi nzuri za kuigwa, na kuna habari nyingi mbaya za kutupwa.

Tunapozisema vibaya habari mabaya, tuziseme vibaya kama habari mbaya, si kwa sababu ni habari za magharibi au Afrika.

Habari nzima ya "magharibi hivi, Afrika vile" ni ukiukwaji wa uchunguzi na kukosa kunyumbulisha mambo ipasavyo.

A grave oversimplification and gross reductivism.
 
At least unaeleweka kidogo sasa. Sasa ni hivi bwana Kiranga.
Hebu ainisha hayo mazuri na mabaya ya magharibi tu weigh out na hayo ya Afrika.
By the way hapa tunazungumzia culture na si habari za kiuchumia wala siasa, refer title ya hii thread.
 
Lakini na hilo alilofanya ni jema tu, sasa ushoga wa nn kwetu na una faida gani?
Sijasema alilolifanya ni baya au zuri bali ninakataa pale viongozi wanapotumia madhaifu ya jamii ili waendelee kutawala.

Wananchi wengi wa Zimbambwe kila siku wanalalamika kuwa maisha ni magumu kwa sababu ya umasikini kwa maana kuwa, hata chakula ni tatizo kubwa. Na hakuna tatizo la msingi katika jamii kama ukosefu wa chakula, lakini cha kushangaza Mugabe amelichukua swala la mapenzi ya jinsia moja kama ndiyo kadi ya turufu katika siasa zake ili aendelee kutawala.

Ni kweli kabisa ushoga unaweza usiwe na maana yoyote kwako na kwangu kama ilivyo kwa watu wengine lakini haina maana kuwa wengine hawaoni umuhimu wake.
 
Sasa mbona vijana wa kiume hawaishi kuvaa "kata k"?

Au hayo nayo ni maadili ya Kitanzania?

Kama siyo, hivyo vyombo unavyovisema vimeshindwa vipi kudhibiti uvaaji wa "kata k" inayovaliwa hadharani na vitawezaje kudhibiti ushoga unaofanyiwa mpaka sirini?

Kama nia yako ni kuonesha kwamba kuvaa kata K ni ushoga well n gud, kwasababu ndio tumekataza huo ushoga mnaotaka, yaani kama ni nyoka tumempiga kichwani, ila siamini kwamba kila anaevaa kata K na heleni ni shoga that is y tukaamua kuwa specific kabisa kwamba tunadili a mashoga.

Na kuhusu swala la ushoga kufanyika sirini, LET ME TELL U 1 THING, TZ, UG, KNYA na hata huko zimbabwe mashoga wapo wengi tu na wala hujawai kusikia serikali wamefanya door 2 door operation kutafuta mashoga, tatizo ni hilo la kutaka mjitangaze mitaani na kufanya matendo mengine yenye nia ya kushawishi watu wengine na kuharibu watu wengine, HAO TUTADILI NAO MPAKA KUFA.
 
Kama unataka uthibitisho kiranga kashatuma posti. Tafadhari soma #301 . Sio nia yangu kushabikia ushoga. Lakini vilevile sioni sababu kujenga hoja kwa kutumia unafiki. Kama mnataka kujenga hoja kwa kutumia moral values basi mje mkiwa kamili katika moral values.

Kuhusiana na kufanya mapenzi nje ya ndoa na kufanya mapenzi ya kijinsia moja ni kitu kilekile. Uoni tofauti kwa sababu umelelewa katika jamii ambayo imeruhusu kitendo hicho.

Kitendo cha Mugabe kuzini na mke watu hukumu yake ilikuwa kupigwa mawe mpaka afe. Na kifo chake kisingempa muda wa kutawala muda mrefu na kufanya mambo unayoita mema ya kukemea ushoga.

Duuuh! mkuu hivi unaelewa ulichokiandika lakini:A S-confused1:
 
Kama nia yako ni kuonesha kwamba kuvaa kata K ni ushoga well n gud, kwasababu ndio tumekataza huo ushoga mnaotaka, yaani kama ni nyoka tumempiga kichwani, ila siamini kwamba kila anaevaa kata K na heleni ni shoga that is y tukaamua kuwa specific kabisa kwamba tunadili a mashoga.

Na kuhusu swala la ushoga kufanyika sirini, LET ME TELL U 1 THING, TZ, UG, KNYA na hata huko zimbabwe mashoga wapo wengi tu na wala hujawai kusikia serikali wamefanya door 2 door operation kutafuta mashoga, tatizo ni hilo la kutaka mjitangaze mitaani na kufanya matendo mengine yenye nia ya kushawishi watu wengine na kuharibu watu wengine, HAO TUTADILI NAO MPAKA KUFA.

Kama una enforce sheria za habari za utamaduni selectively then unatumia kivuli cha utamaduni tu kisiasa, kesho tutaambiwa demokrasia na uchaguzi si utamaduni wetu, turudi kwenye uchifu rais anakuwa sultani, Mswati style. Utasemaje?

Mimi siko katika ushoga, niko katika kutetea kila mtu ajiamulie mambo yake binafsi mwenyewe.

Ukishakuwa na sheria inayokataza ushoga, haijalishi ushoga umefanyika hadharani au chumbani.

Kuhusu kukataa mambo ya ushoga kufanyika hadharani, hilo nishalisema hapo juu, soma thread. Mimi sikatai mambo ya ushoga tu kufanyika hadharani, hata mambo ya kikubwa kati ya mwanamke na mwanamme ambayo ni ya faraghani kwa utamaduni wetu na practical reasons, kwa mfano kubusiana, sikubali yafanyike hadharani. Kwa hiyo kwangu hapo suala ni mambo ya faragha yafanywe faraghani, bila kujali ni straight au gay.

Kuna watu wanalea watoto wao wadogo hawataki watoto waone ma lovey dovey hata ya kubusiana kwenye movie, kwa watu straight, kwa nini tuwaingilie uhuru wao wa kukuza watoto bila kuona haya mambo in the public square? So the question is not whether gay or straight, it becomes whether public or private.
 
At least unaeleweka kidogo sasa. Sasa ni hivi bwana Kiranga.
Hebu ainisha hayo mazuri na mabaya ya magharibi tu weigh out na hayo ya Afrika.
By the way hapa tunazungumzia culture na si habari za kiuchumia wala siasa, refer title ya hii thread.

Huwezi kuwa na culture bila uchumi, kwa hiyo dhana yako ya ku isolate culture na uchumi ni utopia. Ni potofu.

Max Weber kaandika kitabu kizuri sana "The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism". Kitabu kinaonesha ni jinsi gani utamaduni na uchumi vinaingiliana, na ameonesha jinsi gani ethics za utamaduni wa kiprotestanti zimechangia maendeleo ya uchumi katika nchi za kibepari.

Tukitoka huko, naweza kusema magharibi wanathamini zaidi uwazi, utawala wa sheria na haki hata za minorities kuliko Afrika.

Afrika tunathamini quick consensus at the cost of thoroughness, being judicious na tuna an unhealthy respect for authority.
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

Mkuu tunaomba source maana isiwe ushabiki tu
 
"If Obama wants me to allow gays marriage in Zimbabwe,I should marry him first to show the good example"-Robert Mugabe..

Ndio huyu huyu mzee,ambaye alipoulizwa na wanahabari wa Uingereza kuwa kwanini asiachie ngazi ilhali ameshazeeka, aliwauliza kama walishawahi kumuuliza swali kama hilo malkia wao..

Salute kwako uncle mugabe..

matata...
 
Nimejibu habari za niliyem quote.

Kama hujui lugha, hiyo ni challenge kwako kujifunza. Usipende mtelezo tu kila siku. Mtelezo unaleta umasikini.

Tatizo lenu mnataka "simba" badala ya viongozi.

Kama mwanamke ambaye anaona hapendwi na mwanamme mpaka mwanamme amkung'ute, mnaona kiongozi si mzuri mpaka awe "simba" kwa abuses of power.

Ndiyo maana Afrika haiendelei.

Sema ndo maana afrika hatuendelei, Basi kaolewe na wazungu. Inaonekana unapenda sana. Ukizingatia wameruhusu ushoga kaolewe nao.
 
Sema ndo maana afrika hatuendelei, Basi kaolewe na wazungu. Inaonekana unapenda sana. Ukizingatia wameruhusu ushoga kaolewe nao.

Kwa fikra fupi hapa umeona ushoga tu.

Hujaona shere mnazochezewa na "viongozi" wenu ambao wanawapoteza lengo kwa kujikita kwenye mijadala ya ushoga na kuepuka ku address maswali magumu.

Kama mtu anaweza kuua wananchi wake 20,000 na kuufanya uchumi wake upate superhyperinflation ya kuizidi ya Ujerumani baada ya WW2, na bado akasifiwa kwa kuwa "simba" kwa sababu ya kuwa distract watu kwenye habari za gays, the poverty we have is explained.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom