Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Sep 7, 2012 #62 no comment!, Mbuzi Mzee umejiandaa!?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,688 1,282 Sep 7, 2012 #64 Asee walikutwa na ile sigara kubwa??
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,905 Sep 8, 2012 #68 Chura mwenyewe baunsa, kabla hujaanza kula lazima akukabe. Chura amekomaa hata nyuki wakimng,ata wanavunjika sindano
Chura mwenyewe baunsa, kabla hujaanza kula lazima akukabe. Chura amekomaa hata nyuki wakimng,ata wanavunjika sindano
T 2015 CDM Member Sep 6, 2012 39 10 Sep 8, 2012 #70 Mh Mbuzi mzee magomeni siku hizi wasfi hivi? Nafikiri hii itakuwa kwa Obama au Europe kaka!
Kingcobra JF-Expert Member Jan 28, 2011 1,000 309 Sep 8, 2012 #71 Ooohh, yes na imestawi kwelikweli. Wateja wakubwa ni nchi za kiaarabu ilikotoka dini ya naniii.
Kingcobra JF-Expert Member Jan 28, 2011 1,000 309 Sep 8, 2012 #73 Nimejifunza mengi kutokana na picha hii.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Sep 8, 2012 #74 Ndio maana Bible inasema 'asiyeukubali ufalme wa mbinguni kama mtoto mdogo, hatauingia kabisa'
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 69,367 94,550 Sep 8, 2012 #76 Unawatafuta polisi eeh watakuja na misifa yao kungoa na kuchoma
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Sep 8, 2012 #77 Hii kitu ina baraka zake,huwa haishindwi kustawi popote pale, inapigwa vita na wale wanaoijua thamani yake!
Hii kitu ina baraka zake,huwa haishindwi kustawi popote pale, inapigwa vita na wale wanaoijua thamani yake!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,905 Sep 8, 2012 #78 andybird314 said: Unawatafuta polisi eeh watakuja na misifa yao kungoa na kuchoma Click to expand... Wanavuna shamba zimba, kisha wanachoma mabaki ya vijiti.
andybird314 said: Unawatafuta polisi eeh watakuja na misifa yao kungoa na kuchoma Click to expand... Wanavuna shamba zimba, kisha wanachoma mabaki ya vijiti.