Umelazimishwa

3714_102187979933115_1786488478_n.jpg

kama ni migomigo kwa macheni, siku hizi huwezi kumuona, ni kifusi tu pale.
 
Nakushukuru Mungu kwani mimi sikupewa wajibu kama huu!. Na ninakuomba umjaze moyo wa UPENDO na BUSARA za kutosha huyu mtoto siku zote za uhai wake!.
 
..Hiyo kitu hapo inaweza kuwa zao la biashara endapo; litalimwa kwa ajili ya nyuzi zake; zinatumika kutengeneza mikoba na vitambaa kwa ajili ya viatu na nguo. bidhaa hizo ni ghali sana. Cha kufanya, serikali inaagize mbegu ambazo hazina "opium"; wanagawiwa wakulima na kulima; hivyo haitatumika kwa kuvuta. mbegu hizo zipo!! Njia nyingine ili kuuza kama zao la biashara katika viwanda vya kutengeneza madawa kama ilivyo kuwa zamani kabla ya kugundua mazao ya "petroli"; ambayo hivi sasa ndiyo yanatumika ktk viwanda vya madawa ni nchii kuomba kibali cha kimatafifa; hivyo kulimwa na kusimamiwa kimkataba na serikali.... VINGINEVYOO TUNATUMIA NGUVU NYINGI LAKINI KILIMO KINAENDELEAA TUU.
 
Kwanza nilitazama hiyo picha ya sahani na msosi.
Nikawa sijaelewa ni kitoweo gani kizuri hicho.
akili ikacharge mhh! kama chura vile. Kumbe ni chura kweli. hii haitufai sisi peleka kwa wachina wenye asili nayo.
 
Kwa size ya huyo dada hawezi kumkunja hako kadume... I don't know why, wanaume vimbaumbau, vibushuti duuuh wananikosesha stimu kabisa!

we mwanamke wa wapi unapenda mijanamume minene nene kisa? uwa sikuelewi kabisaaa un ajaribu kuonekana tofauti na wenzio
 
Back
Top Bottom