Kwa watoto wa kiafrica, bila kitu hii huwezi kusonga mbele!!!!
Namshukuru mwalimu wangu wa middle school kwa kunichapa viboko ama sivyo nisingefika hapa nilipofika !! R.I.P mwalimu wangu!!
Kwa watoto wa kiafrica, bila kitu hii huwezi kusonga mbele!!!!
inapatikana hoteli gani hii msosi?? naona imenivutia
Kimsingi sio Bongo, moja ya sababu ni kuwa huwa hatuendeshi gari upande wa kulia
hilo gari linaweza kuwa limeegeshwa hapo.
Hii picha ni Kenya. Kwa habari zaidi gonga hapaKenya to Weed Out Illegal Foreign Traders | Mwakilishi.com