Wasanii Bongo Fleva na ajenda za ushoga

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,425
15,981
Bila kumung'unya maneno,

Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.

Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii message ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo.

Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.
Capture.PNG
 
Bila kumung'unya maneno,

Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika na tutakosa wa kumlaumu. Najua kwa wasanii sometimes mnalazimika kusukuma hizi ajenda pasipo wenyewe kupenda ila mkae mkijua hili suala lina athari mbaya sana katika jamii ambayo nyinyi pia ni sehemu yake.

Leo namuonelea kijana kutoka WCB WASAFI, Mboso. Huyu bwana mdogo kwenye video yake aliyoiachia leo kuna nguo ameivaa ambayo bila kupepesa macho anafahamu hasa kwanini ameivaa (kuunga mkono harakati za mapenzi ya jinsia moja). Hii sio bahati mbaya na sio kwamba hajui ni makusudi na amefanya vile akijua ile video ilikua ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi akaona/ wakaona wapachike na hii messege ya ushoga. Mboso wewe ni kijana wa kiislam na unajua hilo suala halikubaliki hata kidogo. Muombe Allah S.W akusamehe na kama umelazimishwa kufanya hicho kitu muombe sana Allah akuepushe na hiyo mitihani. Kwa wewe ambao utaona nilichokiandika hapa ni ushamba kwamba mbona ni vitu vya kawaida na pia wewe MOD utaefuta huu uzi wait atokee shoga among your family member ndio utajua ubaya wake.View attachment 2289158
Nimependa huo mstari wa mwisho
 
Back
Top Bottom