Tena anacheza kiduku.Huyo anayecheza hapo ni Mwanaume baada ya kufanya kazi!! siyo huyo wa kwenu anacheza na kazi hafanyi!! Shame on Him!!
Mkuu hapo kwenye nyekundu ulitaka kuandika Malaya au?True freedom fighter, Sio hawa Malaysia wa siku hizi.
aisee we beberu mbona post zako zinakera, unasema umeweka picha lakini kila post unayoweka wewe picha hazionekani.....