Umekopa mwenyewe, nikikudai unakasirika!

Umekopa mwenyewe, nikikudai unakasirika!

Huwa ni $2,000.00.....siyo 2000$ kama ulivyoiandika wewe.

Taratibu utaelewa tu le mchumbaz ze mtindiz😀
hee lembebez asante kwa kunirekebisha, japokua ndo nawaandikiaga wateja hivo kwenye risiti....
Kwahyo mkopo napewa jomonii, mie sio le tapeliz!
 
Inaumiza sana pale unampigia simu hapokei halafu anakutumia sms anakwambia screen haionyeshi jina labda umtumie sms, pesa yangu halafu unipe masharti ya kudai, baada ya muda kasahau kwamba unamdai, anakwambia mwenye nyumba anamdai Kodi hivyo anaomba umkopeshe japo Kodi ya miezi mitatu atarudisha kesho jioni, namwambia angekuja jana ningempa, tayari alikuja mwingine kachukua hivyo sina, akiondoka lazima atakumbuka kwamba namdai tu. Na harudi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hee lembebez asante kwa kunirekebisha, japokua ndo nawaandikiaga wateja hivo kwenye risiti....
Kwahyo mkopo napewa jomonii, mie sio le tapeliz!

Mkopo unapata.

Ngoja niuandike mkataba hapa...kaambie ka Valentina kawe tayari kuwa shahidi....
 
Mkopo unapata.

Ngoja niuandike mkataba hapa...kaambie ka Valentina kawe tayari kuwa shahidi....
Sawa ngoja nikaambie..ila yule mchaga atahakikisha namtumia 10% ya mkopo ili awe shahidi.
Naomba mkataba usiwe na masharti magumu.
 
Sawa ngoja nikaambie..ila yule mchaga atahakikisha namtumia 10% ya mkopo ili awe shahidi.
Naomba mkataba usiwe na masharti magumu.

Oh no...huu wako utakuwa na masharti matamu matamu ya tam tam za Ngabu😛
 
Kama ni mwanaume, tafuta namba ya mke wake alafu umpigie usiku wa saa tano huyo Mke wake ukiwa na uhakika Jamaa yupo home.

Mazungumzo yawe hivi;

( Simu inaita Kwa muda mpaka inakata bila kupokelewa. Nyani Ngabu anapiga tena. Mara hii inapikelewa).

Mke wa X: Hellow!
Nyani Ngabu: Hellow, naongea na Mke wa X.
Mke wa X: Ndio, kwani wewe Nani?

Nyani Ngabu: Hiyo haikuhusu. Mlipie mmeo deni lake. Naona yeye kashindwa labda wewe uliyemuoa utamsaidia.

Mke wa X;( anasikiliza huku akimwangalia Mr. X aliyelala). Una mdai kiasi gani?.

Nyani Ngabu: Milioni tatu.
Mke wa X: Milioni tatu?

Nyani Ngabu: kama atashindwa mwambie nitakuja nikuchukue.

Mke wa X: Embu jiheshimu we Baba uliekosa haya mwanaizaya.

Nyani Ngabu: am gonna **** you and your husband. Rubiishh potate.

(Simu inakata, Mke wa X anamuamsha Mume wake).

Wakiwa wanagombana baada ya dakika tano inaingia Meseji kwenye simu ya mke wa X. Kimya kinatokea huku macho Yao wote wakiikodolea simu.

Mke wa X anachukua Simu na kukuta ujumbe kutoka Kwa Nyani Ngabu;

"I will marry you even though I don't want. Plz tell your husband I will take you if he failed to payback my money.
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG] babby"

Anaisoma kisha anamrushia Simu Mr.x



Hapo ndipo Sterling atakapokufa na picha limeisha.

Maandishi yanapanda ya Washiriki.

WASHIRIKI
1. Nyani Ngabu. Sterling
2. Mr. X.
3. Mke wa X

DIRECTOR
1. Michaelray22

PRODUCER
1. Michaelray22

LOCATION
Jamii Forum

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Upendo ni tiba.
 
Back
Top Bottom