Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,486
Alafu kaka yangu ni mmasai ujue!! Sio msukuma yule, shaurilo.Ha haa we mwanamke hebu uniwache,mwisho utaniuliza naenda kwa mchepuko upi sasa

Aisee nahisi nitaiweka tu kama "kumbukumbu"
Ewaaaaa! Mambo si ndio hayo sasa!