Umekopa mwenyewe, nikikudai unakasirika!

Umekopa mwenyewe, nikikudai unakasirika!

Hivi ukimpeleka mdaiwa wako polisi ni sahihi?au ndo umwachie Mungu?

Sent from my TV
 
Na mimi je?
Wewe tena...? Wewe yako hii hapa...

20170914_105552.jpg
 
Kuna jamaa yangu nilimkopesha 20000 aliniambia mkewe amekwama safarin nkamsaidia kutegemea kuwa after 2 days atanilipa
Subir subir subir kimya nkaamua kumsamehe
. . Majuz kati akaja tena etii ohhhh niazime 150000 eti mwanae amerudishwa shule ada nkamuambia vp ile nyingine ooh ntakuletea zote kwa pamoja nkamuambia
. . Kiss my ass
 
Kaushaa!Na ni ngumu saana Jinsia ya KE kukopa ikalipa,humu humu nimejifunza kwa wawili!hivi hivi mkopo nikaubadili msaada
 
Back
Top Bottom