Umekopa mwenyewe, nikikudai unakasirika!

Wanaboa sana watu wa hivyo aisee.

Hela yako halafu ukimdai anakasirika.

What kinda fcuked sense does that make?
Mkuu inaelekea amekuudhi kweli pole sana next time angalia wa kumkopesha Mimi sikopeshi kabisa mtu akija na shida ya kukopa laki nitamsaidia kumi sio kumkopesha
 
Walau wewe unajua tofauti ya kutoa kama msaada na kutoa kama mkopo!

Mkopo hurudishwa/ hulipwa.
Ndugu yangu kwa hali tuliyonayo sasa hivi kumkopesha mtu hela ni majanga kila wiki benki zinauza nyumba na vitu vya watu watu hawalipi kabisa
Mtu akiwa na shida hata atoe machozi usimkopeshe kama unayo msaidie kidogo atembee mbele
 
Wewe hujaelewa na si ajabu hujui tofauti ya kumpa mtu hela kama msaada na kumkopesha.

Hapa nazungumzia mikopo. Siyo misaada. Unajua maana ya 'kukopa'?

Unapompa mtu hela kama msaada hutomdai tena. Msaada haudaiwi.

Ila mtu anapokuja mwenyewe kukukopa [anakuambia naomba unikopeshe] hela kwa ahadi ya kukurudishia baada ya muda fulani, muda ukifika anapaswa na anawajibika kukurudishia ulichomkopa.

Masharti yapo kwenye mkopo. Hayapo kwenye msaada.

Hata benki au sehemu zingine zinazotoa mikopo zina masharti ya mikopo.

Kusoma na kuelewa ni janga kitaifa!!!

Umeanza hadithi yako kwa kujaribu kutuonyesha una moyo wa huruma na kutoa, ila wanaokuja kukopa wanakubembeleza mpaka wanatamani kulia na unawapa masharti. Naona tu unajichanganya, mzee.
 
Hakuna nilipojichanganya.

Wewe ndiye hujaelewa.

Nazungumzia mkopo hapa. Licha ya hivyo, nimesema kuwa huwa nikitoa kama msaada ndiyo imetoka hiyo. Sidai misaada.

Nimejichanganya wapi sasa?

Ukija kuniomba hela kama ninazo nitakupa. Ukija kunikopa hela kama ninazo basi tutaandikishiana halafu nakukopesha kwa ahadi ya kwamba utanilipa.

Hata benki wanakopesha kwa masharti. Ubaya wa mimi kuweka masharti kwenye mikopo yangu ni upi?

Sioni nilipojichanganya. Naona ambacho hukuelewa.
 
Basi sawa, mzee. Siyo kesi.
 
Aisee,naishia kugombana na kupoteza urafiki tu. Mtu akija kukopa anakunyenyekea kimbembe kulipa. Now days Nina ambiwa mchoyo but I'm fine with it,I keep relation going on...
 
Hakuna nilipojichanganya.

Wewe ndiye hujaelewa.

Nazungumzia mkopo hapa. Licha ya hivyo, nimesema kuwa huwa nikitoa kama msaada ndiyo imetoka hiyo. Sidai misaada.

Nimejichanganya wapi sasa?

Ukija kuniomba hela kama ninazo nitakupa. Ukija kunikopa hela kama ninazo basi tutaandikishiana halafu nakukopesha kwa ahadi ya kwamba utanilipa.

Hata benki wanakopesha kwa masharti. Ubaya wa mimi kuweka masharti kwenye mikopo yangu ni upi?

Sioni nilipojichanganya. Naona ambacho hukuelewa.
SEMA HAYO MASHARTI MZEE MAANA KUNA UKAKASI
 
Common sense tu.

Kama nakukopesha basi ni lazima uwe na ajira.

Ni lazima tuandikishane makubaliano ya mkopo.

Ni lazima uwe na makazi ya kudumu.

Ila, masharti mahsusi yatategemea na kiasi cha mkopo uombwao.

Kuna kilicho unreasonable hapo?

Kumbuka, hapa nazungumzia kumkopesha mtu na siyo kumsaidia tu....
 
Dah... Hii mistari ungeisajili chief...... Wajanja wataitia biti ikatoka taarabu nzuri halafu ukaanza kulialia tena umeibiwa wimbo[emoji23] [emoji23]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pilato 007
 
Back
Top Bottom