I PHONE 13 PRO

I PHONE 13 PRO

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,196
Reaction score
2,925
Kichwa cha Habari

iPhone 13 Pro Imetungikwa Lock ya Mkopo. Natafuta Fundi wa Kazi, Matapeli na Wapiga Blah Blah Kaeni Mbali

Wakuu, nina iPhone 13 Pro 128GB niliyoichukua kwa mkopo. Mambo yalikaa vibaya, nikakaa nayo ndani miezi 4 bila kulipa marejesho, sasa hivi kampuni wameipiga lock ya Lost iPhone.

Nimeongea nao nianze kulipa sasa hivi wamegoma wanataka malimbikizo yote ya miezi minne kwa mkupuo. Ukweli ni kwamba hiyo hela ya mkupuo sina, na kama ningerikuwa nayo nisingekopa simu tangu mwanzo

Natafuta fundi mtaalamu wa kweli wa software anayeweza kuifungua (kutoa MDM/Lost Mode) ili itumike

ANGALIZO HUU SIO MTEGO

Najua humu ndani kuna watu wana hofu nanyoosha maelezo mapema kabisa kuwa huu sio mtego wa aina yoyote na wala sio mtego wa polisi au wa kampuni. Nina shida ya kifaa changu kweli na ndio maana nimekuja kiume hapa kutafuta suluhisho la kazi

SITAKI USHAURI
Sitaki ushauri wa kisheria au wa maadili. Hao wenye simu wamegoma kusikiliza hoja zangu niliwalipa pesa ya kwanza na sikutumia hii simu hata siku moja, lakini wamegoma kupokea kidogo kidogo sasa hivi. Kama wao hawataki kunisikiliza, mimi sitaki kusikia ushauri wa mtu yeyote humu ndani. Nahitaji fundi wa kazi tu

(Hata hivyo, kama kuna mtu wa hiyo kampuni ya mkopo yupo humu jukwaani na yuko tayari kuongea na mimi kistaarabu na kukubaliana namna ya kulipa kidogo kidog nicheki PM tuyajenge

MASHARTI YA KAZI

Niko tayari kwa lolote Hata simu ikifa): Piga kazi yako. Niko tayari kwa matokeo yoyote hata simu ikifa kabisa ikiwa kwenye hii kazi, iwe ndio basi tena yaishe, haina shida

Malipo ni BAADA YA KAZI TU

Unapiga kazi, simu inawaka na kusoma laini hapa mbele yangu, nakupa chako. Hakuna cha tuma hela ya credit au tool Kwanza Ukianza hadithi hizo za kitapeli naku-block papo hapo

Kama hujui kazi pita kando Sifanyi majaribio na sitaki kupotezewa muda
Kama wewe ni fundi unayejiamini na una ofisi yako, nicheki PM tuyajenge Kama sivyo, pita kushotoView attachment 3596087
IMG_20260527_203502_637.jpg
 
Embu tuma elfu kumi ya nauli kwanza,hiyo kazi rahsi sana
 
Niko tayari KUUZA kama PARTS/SPEA zinazobadilishika: Kama mafundi mtafeli kuifungua, niko tayari kuimwaga hii simu kwa ajili ya spea zake original za ndani na nje zinazohamishika kirahisi kwenye simu nyingine. Humu kuna:
Kioo Original (Super Retina XDR Display) - Hakina shida yoyote.
Kasha la Nje (Housing) - Safi kabisa.
Kamera za Nyuma na Mbele (Camera Modules) - Nzima zote.
Betri Original (Battery) - Haijatumika tangu simu ichukuliwe.
Spika, charging port, na riboni zote za ndani.
Njoo na ofa yako ya bei ya spea hizi
 
Kichwa cha Habari

iPhone 13 Pro Imetungikwa Lock ya Mkopo. Natafuta Fundi wa Kazi, Matapeli na Wapiga Blah Blah Kaeni Mbali

Wakuu, nina iPhone 13 Pro 128GB niliyoichukua kwa mkopo. Mambo yalikaa vibaya, nikakaa nayo ndani miezi 4 bila kulipa marejesho, sasa hivi kampuni wameipiga lock ya Lost iPhone.

Nimeongea nao nianze kulipa sasa hivi wamegoma wanataka malimbikizo yote ya miezi minne kwa mkupuo. Ukweli ni kwamba hiyo hela ya mkupuo sina, na kama ningerikuwa nayo nisingekopa simu tangu mwanzo

Natafuta fundi mtaalamu wa kweli wa software anayeweza kuifungua (kutoa MDM/Lost Mode) ili itumike

ANGALIZO HUU SIO MTEGO

Najua humu ndani kuna watu wana hofu nanyoosha maelezo mapema kabisa kuwa huu sio mtego wa aina yoyote na wala sio mtego wa polisi au wa kampuni. Nina shida ya kifaa changu kweli na ndio maana nimekuja kiume hapa kutafuta suluhisho la kazi

SITAKI USHAURI
Sitaki ushauri wa kisheria au wa maadili. Hao wenye simu wamegoma kusikiliza hoja zangu niliwalipa pesa ya kwanza na sikutumia hii simu hata siku moja, lakini wamegoma kupokea kidogo kidogo sasa hivi. Kama wao hawataki kunisikiliza, mimi sitaki kusikia ushauri wa mtu yeyote humu ndani. Nahitaji fundi wa kazi tu

(Hata hivyo, kama kuna mtu wa hiyo kampuni ya mkopo yupo humu jukwaani na yuko tayari kuongea na mimi kistaarabu na kukubaliana namna ya kulipa kidogo kidog nicheki PM tuyajenge

MASHARTI YA KAZI

Niko tayari kwa lolote Hata simu ikifa): Piga kazi yako. Niko tayari kwa matokeo yoyote hata simu ikifa kabisa ikiwa kwenye hii kazi, iwe ndio basi tena yaishe, haina shida

Malipo ni BAADA YA KAZI TU

Unapiga kazi, simu inawaka na kusoma laini hapa mbele yangu, nakupa chako. Hakuna cha tuma hela ya credit au tool Kwanza Ukianza hadithi hizo za kitapeli naku-block papo hapo

Kama hujui kazi pita kando Sifanyi majaribio na sitaki kupotezewa muda
Kama wewe ni fundi unayejiamini na una ofisi yako, nicheki PM tuyajenge Kama sivyo, pita kushotoView attachment 3596087View attachment 3596088
Nenda kariakoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom