Kama ni mwanaume, tafuta namba ya mke wake alafu umpigie usiku wa saa tano huyo Mke wake ukiwa na uhakika Jamaa yupo home.
Mazungumzo yawe hivi;
( Simu inaita Kwa muda mpaka inakata bila kupokelewa. Nyani Ngabu anapiga tena. Mara hii inapikelewa).
Mke wa X: Hellow!
Nyani Ngabu: Hellow, naongea na Mke wa X.
Mke wa X: Ndio, kwani wewe Nani?
Nyani Ngabu: Hiyo haikuhusu. Mlipie mmeo deni lake. Naona yeye kashindwa labda wewe uliyemuoa utamsaidia.
Mke wa X;( anasikiliza huku akimwangalia Mr. X aliyelala). Una mdai kiasi gani?.
Nyani Ngabu: Milioni tatu.
Mke wa X: Milioni tatu?
Nyani Ngabu: kama atashindwa mwambie nitakuja nikuchukue.
Mke wa X: Embu jiheshimu we Baba uliekosa haya mwanaizaya.
Nyani Ngabu: am gonna **** you and your husband. Rubiishh potate.
(Simu inakata, Mke wa X anamuamsha Mume wake).
Wakiwa wanagombana baada ya dakika tano inaingia Meseji kwenye simu ya mke wa X. Kimya kinatokea huku macho Yao wote wakiikodolea simu.
Mke wa X anachukua Simu na kukuta ujumbe kutoka Kwa Nyani Ngabu;
"I will marry you even though I don't want. Plz tell your husband I will take you if he failed to payback my money.
[HASHTAG]#USA[/HASHTAG] babby"
Anaisoma kisha anamrushia Simu Mr.x
Hapo ndipo Sterling atakapokufa na picha limeisha.
Maandishi yanapanda ya Washiriki.
WASHIRIKI
1. Nyani Ngabu. Sterling
2. Mr. X.
3. Mke wa X
DIRECTOR
1. Michaelray22
PRODUCER
1. Michaelray22
LOCATION
Jamii Forum
Sent using
Jamii Forums mobile app