Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Tena ile sheria aliyopigania Salma nadhani ilipitishwa na bunge. Wanapata pesa nyingi sana hao.
Sheria ya hovyo sana, Nchi yetu ni maskini sana lakini Viongozi hawajali.

Viongozi Wazalendo wa kweli kama JK Nyerere, Sokoine na JPM wasingeweza kuileta hiyo sheria.
 
Niko natafakari kumzukia Janneth hivi nitakuwa nimekosea ndugu zangu?
 
Tuoe wanawake waliotuzidi umri. Pia tuoe mwanamke zaidi ya mmoja
 
Nimejifunza kwamba, Mungu anatupa maisha marefu wanawake ili tuweze kufurahia miaka yetu ya mwisho duniani bila kero na mahangaiko!
Avatar yako inaonesha tu wewe unamsumbua sana mmeo... NNafikiri utakuwa mwenyeji wa kitambaa cheupe pale mitaa bungeni.
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Sokoine alikua na wake wengi? Si mkiristo alikuwa? Halafu wakiristo uchwara humu wanakandia wake wengi, wao haisimami vizuri wanataka waharamishe kwa wote
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Bila ya mume wa Samia hili bandiko halitanoga!. 😳 :QueueUp:
 
Back
Top Bottom