Yule wa JK , ninamwaza sana!Iyo list ni ya wazee wa zamani, kwa kipindi chao mwanaume alikua anaoa mke ambae amemzidi miaka mingi kwaiyo hata sequence ya vifo probability ya mwanaume kutangulia inakua kubwa zaidi
Kikwete kamzidi mkewe miaka 13, kwa gap iyo uwezekano wa kikwete kuwa mgane ni mdogo sana, ukilinganisha na uwezekano wa mkewe kuwa mjane.
Miaka inavyoenda iyo sequence itapungua na haitakua ajabu tena mke kutangulia kwa sababu sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la mahusiano/ndoa ambayo mwanaume na mwanamke wamelingana umri, hawajazidiana sana au mwanamke ndie kamzidi mwanaume
Huduma wanaipata wapiHairuhusiwi abadani ndio maana hao wote kwenye orodha hawajaolewa.
Wa mengi, uki ibukia huko, umelamba DumeMke wa ndugulile, mke wa mrema, mke wa mengi, mke wa manji, mke wa kulola
Swali muhimuHuduma wanaipata wapi
Ndoa utapeli....remain single, eat punene1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Soma #26Wote ni Mama za watu kama alivyokua Mama wako.
Pia, ni wake wa Viongozi wa kutoka serikalini.
Mengine yote ni porojo zisizo na tija.
Ww pena Mama yako anaitwa mke wa nani😇😇😇😇 na yumo kwenye orodha gani?
Mama Samia atawale aisee…Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.
Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.
Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
HahahahaaaUkiibuka na mmoja hapo,unausahau umaskini
money, money ni kikwazo kulamba paleWa mengi, uki ibukia huko, umelamba Dume
Hasa wapare.Nimejifunza kuwa wanawake ni wauaji 😎
Nimejifunza kuwa wake za marais ni waaminifu sana...1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Life expectancy average kwa takwimu za kidunia kwa mwanaume ni 79 na mwanamke ni 73. Kwaiyo wanaume ndio wanaishi maisha marefu.Nimejifunza kwamba, Mungu anatupa maisha marefu wanawake ili tuweze kufurahia miaka yetu ya mwisho duniani bila kero na mahangaiko!
Asasi wako wangapi?Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.
Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.
Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus