Swali Muhimu sana!Sujajua kikatiba imekaaje endapo mjane wa raisi mstaafu akaanua kuolewa. Huyo mume wake atazingatiwaje kimaslahi?
Endapo huyu mjane aliyolewa akafariki Tena, huyu mume atakaemuacha itakuwaje?
Salma ninamsubiri kwa hamu!Sujajua kikatiba imekaaje endapo mjane wa raisi mstaafu akaanua kuolewa. Huyo mume wake atazingatiwaje kimaslahi?
Endapo huyu mjane aliyolewa akafariki Tena, huyu mume atakaemuacha itakuwaje?
Nakumbuka nyerere kafariki 1999, ni miaka mingapi mpaka leo? na Je, gape la umri wake na mke wake lilikuwa sawa na miaka hii aliyoiishi mke wake baada ya yeye kufariki?Endapo Nina miaka 30 nikao mwanamke Ana miaka 20 je kisayansi atatangulia kufa nani ?.
Orodha ni ndefu zaidi lakini la kujifunza ni kwamba wanaume wanabeba mizigo mizito kwa ajili ya familia na taifa. Hatemaye msongo wa mawazo na changamoto za kihisia na kisaikolojia zinazoambatana na wajibu wao katika nyanja mbali, zinawatanguliza mbele ya haki mapema zaidi kuliko wanawake.1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Ila katika orodha hiyo, wengine wamekufa zamani sana. Kwa hoja yako, baada ya kama miaka 10-15 wenzao wangefuata.Iyo list ni ya wazee wa zamani, kwa kipindi chao mwanaume alikua anaoa mke ambae amemzidi miaka mingi kwaiyo hata sequence ya vifo probability ya mwanaume kutangulia inakua kubwa zaidi
Kikwete kamzidi mkewe miaka 13, kwa gap iyo uwezekano wa kikwete kuwa mgane ni mdogo sana, ukilinganisha na uwezekano wa mkewe kuwa mjane.
Miaka inavyoenda iyo sequence itapungua na haitakua ajabu tena mke kutangulia kwa sababu sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la mahusiano/ndoa ambayo mwanaume na mwanamke wamelingana umri, hawajazidiana sana au mwanamke ndie kamzidi mwanaume
Hapo umesahau kumuweka mke wangu.. 😂1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Mke yupi wa Mengi?Mke wa ndugulile, mke wa mrema, mke wa mengi, mke wa manji, mke wa kulola
Mke wa John Heche1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Huyu mzee kafaa kitambo sana nilikua mdogo sana lakini nakumbuka, sijui ilikua mwaka ganiMke wa Dr Omar Ali Juma