Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Life expectancy average kwa takwimu za kidunia kwa mwanaume ni 79 na mwanamke ni 73. Kwaiyo wanaume ndio wanaishi maisha marefu.

Kwenye suala la ujane na ugane kwenye ndoa za wazee wetu ni kwa sababu kipindi chao wanaume walikua wanawazidi miaka mingi sana wake wanaowaoa, kwaiyo uwezekano wa mwanaume kutangulia unakua mkubwa zaidi
Laughable 😂 Naomba source ya takwimu zako maana kila data na tafiti nilizoziona zinaonyesha ulichosema ni uongo.

IMG_4890.jpeg


IMG_4889.jpeg


IMG_4888.jpeg


IMG_4891.jpeg
 
Laughable 😂 Naomba source ya takwimu zako maana kila data na tafiti nilizoziona zinaonyesha ulichosema ni uongo.

View attachment 3303181

View attachment 3303182

View attachment 3303183

View attachment 3303184
Mada imelenga kipengere cha mjane na mgane, yaani wanandoa ambao mmoja wao katangulia kufa. Tena ninkatika jamii zetu za kiafrika wewe unakuja na takwimu za ujerumani na marekani. Sababu kubwa ya mwanaume kutangulia ni tofauti ya umri kati ya mume na mke sio upendeleo wa Mungu kama ulivyosema.
 
Iyo list ni ya wazee wa zamani, kwa kipindi chao mwanaume alikua anaoa mke ambae amemzidi miaka mingi kwaiyo hata sequence ya vifo probability ya mwanaume kutangulia inakua kubwa zaidi

Kikwete kamzidi mkewe miaka 13, kwa gap iyo uwezekano wa kikwete kuwa mgane ni mdogo sana, ukilinganisha na uwezekano wa mkewe kuwa mjane.

Miaka inavyoenda iyo sequence itapungua na haitakua ajabu tena mke kutangulia kwa sababu sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la mahusiano/ndoa ambayo mwanaume na mwanamke wamelingana umri, hawajazidiana sana au mwanamke ndie kamzidi mwanaume

Lakini umefatilia hao wanaume zao walikufa na miaka mingapi na umefatilia kujua umri walionao hao wajane ?

Mfano Nyerere alikufa na late 70 na Leo mama maria Ana late 90

Umeona ?

Hapo hoja ni life expectancy .

Ukimtoa Mkapa aliyefariki na 80+ Ila hao wengine hawakufika 80+

Kwahiyo kuna utofauti wa kuishi umri mrefu kati ya mwanamke na mwanaume.
 
Gharama za kuwatunza wooote hao ni za serikali.
 
Back
Top Bottom