residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,016
- 14,524
Hata "mama yako" naye ni muuaji!!??
Nimejifunza kuwa wanawake ni wauaji 😎
Nimejifunza kuwa wanawake ni wauaji 😎
Wajane walio wengi ni wabinafsi ....Hairuhusiwi abadani ndio maana hao wote kwenye orodha hawajaolewa.
List ni ndefu lakini umemtolea mfano Nyerere peke ake. Kikwete alikua mgane kabla ya kumuoa mama salmaLakini umefatilia hao wanaume zao walikufa na miaka mingapi na umefatilia kujua umri walionao hao wajane ?
Mfano Nyerere alikufa na late 70 na Leo mama maria Ana late 90
Umeona ?
Hapo hoja ni life expectancy .
Ukimtoa Mkapa aliyefariki na 80+ Ila hao wengine hawakufika 80+
Kwahiyo kuna utofauti wa kuishi umri mrefu kati ya mwanamke na mwanaume.
Ndio,vigezo na mashart kuzingatiwa🤣🤣🤣Ukifiwa na mume! Unaruhusiwa kuolewa?
Makubwaaa!!!.....we si ndo umesema hawaruhusiwi kuolewa? Namie ndo nahitaji kuelimishwa ni wapi imekatazwa?Waulize wao kwann hawajaolewa Hadi Leo? Ni kwamba hawana nyege?
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Ndio.Hata "mama yako" naye ni muuaji!!??
Wapare wa Usangi huko juu wakorofi sanaAmewaonea hao wanawake wa kipare
Kwa uzoefu wangu Mshangazi ukimuoa utakufa haraka sanaMuoe mishangazi ili wawahi kufa na sio vidogo dogo mnakufa mapema na kuviacha
Mm mpare wa mjini ndo mana hizo takwimu sinaWapare wa Usangi huko juu wakorofi sana
Wanatuondoa1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Si ndio hapa sasaEndapo Nina miaka 30 nikao mwanamke Ana miaka 20 je kisayansi atatangulia kufa nani ?.
Mwanaume akifiwa na mke anaoa Tena🤣🤣🤣Dhana ya ujane ndiyo inayo trend tangu kale wajane wanatajwa sana hata kwenye biblia mistari yao ipo ila wagane hawavumi sana labda ni very rare kwa kuwa wanaume ndio hutangulia kufa zaidi kuliko wake zao
Wanaume tunaishi na kuishia km madume ya malkia nyuki yakishafanya jukumu kumtunga mimba malkia basi na ndio mwisho wa maisha yao.1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Wapi wewe wakati una tabia za akina Mbaga tu wengine..utata utata tu😂Mm mpare wa mjini ndo mana hizo takwimu sina
Nimejifunza wanaume wengi hufa wakiwacha wake zao hai,sababu mwanaume amebeba mambo mazito katika familia hata kama kiongozi mwisho huchukua uhai wake1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili