Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,800
Kabisa mkuu, mwanaume ni kichwa lazima atangulie kuweka mazingira vizuri kwa familia yake… 😹Mwanaume lazima utangulie kwenda kuandaa mazingira ya familia wakati ujao... Au nasema uongo ndugu zangu?😄😄