Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Mkuu,
Ogopa sana kujikita kwa mke mmoja. Utaambulia sonona na magonjwa yasiyo na tiba..

Mifano:-

Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 126
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 86
Wajukuu: 192
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 103
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, kiSukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo.

Boniface Rwehungwa
Kazi: Biashara
Umri: miaka 45
Mke: 1
Watoto: 1
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Sonona, saratani
 
Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.

Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.

Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
Mke wa Dr. Augustine Mahiga, Mrs. Elizabeth Mahiga, alifariki September 16, 2022.

RIP.
 
Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.

Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.

Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
Mke wa Manji...
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Maisha ya wanaume ni mafupi mno.
 
Endapo Nina miaka 30 nikao mwanamke Ana miaka 20 je kisayansi atatangulia kufa nani ?.
Sasa tangu Nyerere afe inakaribia miaka 30 na maria bado anadunda tu ingekuwa hiyo kanuni yako ina uhalisia basi angalau baada ya miaka 10 naye angekuwa ameshamfuata mumewe
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
1 mke wa Augustine L. Mrema
2 mke wa Ditopile Mzuzuri
3 mke wa Reginald Mengi
4 mke wa Generali Musuguri
5 mke wa Rashid Kawawa
6 mke wa Abdul Jumbe
7 mke wa Oscar Kambona
8 mke wa Abdurahman Babu
9 mke wa Kitwana Kondo
10 mke wa Zuber Mtemvu
11 mke wa Idris Abdulwakil
12 mkwe wa Kasela Bantu
13 mke wa James Mapalala
14 mke wa Salim Ahmed Salim
15 mke wa Laurence Sijaona
16 mke wa Brown Ngwilulupi
17 mke wa Edwin Mtei
18 mke wa Daudi Balali
19 mke wa Ali Kibao
20 mke wa Thomas Machali
21 mke wa Kingunge Ngombale Mwilu. Nimechoka. Endelezeni wengine
 
Men are not survivors, inadaiwa hata kwenye maternity ward hasa wale watoto njiti inadaiwa vya kiume ndo hufa zaidi kuliko vya kike.
 
1 mke wa Augustine L. Mrema
2 mke wa Ditopile Mzuzuri
3 mke wa Reginald Mengi
4 mke wa Generali Musuguri
5 mke wa Rashid Kawawa
6 mke wa Abdul Jumbe
7 mke wa Oscar Kambona
8 mke wa Abdurahman Babu
9 mke wa Kitwana Kondo
10 mke wa Zuber Mtemvu
11 mke wa Idris Abdulwakil
12 mkwe wa Kasela Bantu
13 mke wa James Mapalala
14 mke wa Salim Ahmed Salim
15 mke wa Laurence Sijaona
16 mke wa Brown Ngwilulupi
17 mke wa Edwin Mtei
18 mke wa Daudi Balali
19 mke wa Ali Kibao
20 mke wa Thomas Machali
21 mke wa Kingunge Ngombale Mwilu. Nimechoka. Endelezeni wengine
Orodha Bado ni ndefu, Kuna swali la kujiuliza na somo la kujifunza kwa wanaume
 
Mkuu,
Ogopa sana kujikita kwa mke mmoja. Utaambulia sonona na magonjwa yasiyo na tiba..

Mifano:-

Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 126
Sababu ya kifo: uzee

Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala
Umri: 115
Wake: 11
Watoto: 86
Wajukuu: 192
Sababu ya kifo: Uzee.

Mabura Mabondo Matinde
Kazi: Tailor
Umri: 109
Wake: 4
Watoto: 38
Wajukuu: 103
Sababu ya kifo: Uzee

Dk Benson Ngonyani (Phd)
Kazi: Mhadhiri
Umri: 53
Mke: 1
Watoto: 2
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Shinikizo la damu.

Samweli Julius Mushi
Kazi: Meneja wa Benki
Umri: 47
Mke: 1
Watoto; 2
Wajukuu; 0
Sababu ya kifo; BP, kiSukari

Erick Charles James
Kazi: Mwalimu
Umri: miaka 43
Mke : 1
Watoto: 3
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Msongo wa mawazo.

Boniface Rwehungwa
Kazi: Biashara
Umri: miaka 45
Mke: 1
Watoto: 1
Wajukuu: 0
Sababu ya kifo: Sonona, saratani

Hatari sana research yako iliyothibitishwa na data za uhakika.

Tuna la kujifunza sana kutokana na utafiti huu uliowasilisha. Tutaufanyia kazi.
 
Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.

Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.

Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
Mke wa mengi, mke wa baresa, mke wa modewiji
 
1 mke wa Augustine L. Mrema
2 mke wa Ditopile Mzuzuri
3 mke wa Reginald Mengi
4 mke wa Generali Musuguri
5 mke wa Rashid Kawawa
6 mke wa Abdul Jumbe
7 mke wa Oscar Kambona
8 mke wa Abdurahman Babu
9 mke wa Kitwana Kondo
10 mke wa Zuber Mtemvu
11 mke wa Idris Abdulwakil
12 mkwe wa Kasela Bantu
13 mke wa James Mapalala
14 mke wa Salim Ahmed Salim
15 mke wa Laurence Sijaona
16 mke wa Brown Ngwilulupi
17 mke wa Edwin Mtei
18 mke wa Daudi Balali
19 mke wa Ali Kibao
20 mke wa Thomas Machali
21 mke wa Kingunge Ngombale Mwilu. Nimechoka. Endelezeni wengine
Edwin Mtei, Kitwana Kondo, Salim Ahmed Salim hawa wote wapo hai tafadhari fuatilia kabla hujapost
 
Nimegundua walimu ni watu muhumu sana ktk jamii ila hawajitambui lakin pia hawapendani kwa nafasi izo wangeweza kutetea maslai ya walimu wenzao ila shida inakuja hawajitambui na hawapendani
 
1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Mke wa Mengi
Mke wa Ben Saanane
Mke wa Balozi Ombeni Sefue
Wake wa general Msuguri
Mke wa Oscar Kambona
 
Hatari sana research yako iliyothibitishwa na data za uhakika.

Tuna la kujifunza sana kutokana na utafiti huu uliowasilisha. Tutaufanyia kazi.
Kabisa mkuu,
Kwa hili jambo timu Kobaz wameupiga mwingi, wamesimamia uhalisia na wanastahili pongezi. Mwanaume kwa asili ni polygamous, bila hivyo hawezi kustawi.

Wagalatia wana la kujifunza hapo.
Hata manabii waliooa, hawakuoa mmoja!
 
Back
Top Bottom