ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

Wanyakyusa kutooga ni sehemu ya maisha yao, huwezi kutaja uchafu bila kutaja wanyakyusa, Achana na Tukuyu Au kyela nenda huko Keko Dar mtu anaweka chupi chafu za watoto kwenye friji, ni wavivu sana kwenye usafi wanawaza uchawi tu, Huko Tukuyu misiba mingi utasikia amerogwa na Mzee fulani, Kyela huko ndio matatizo zaidi siwezi yasema hapa ni shidaa
Nina uhakika huyo sio mnyakyusa. Watu wakija huku mjini hawataji makabila yao. Katika sifa wanyaki walizonazo usafi na kumbuka walikuwa watu wa kwanza kuvaa nguo hapa Tz. Nenda Rungwe na Busokelo uone tu hata mazingira yanayozunguka nyumba zao. Tofauti na sehemu nyingine nilizopita ambako nyasi zinaota mpaka mlangoni. Nina experience ya kuwa na mahusiano na mdada wa kinyaki nilipokuwa kijana. Amazing. Bahati mbaya sikumuoa (najuta).
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mtoa mada labda unazungumzia wasafwa, wanyaki wapo poa tu.
 
Kwahiyo pale Kariakoo hakuna uchaw? vipi huko Singida wanakopanda hadi fisi kama usafiri wake ?

Mutuwache na Mbeya yetu enyi wacheza vigodoro wa Pwani
 
dawa yake rahis sana fukia mifupa ya nguruwe kuzumguka biashara yako iwe asubuh au jioni kabla hujafunga ofisi ukikuta tena hayo madude niite mchawi
 
Mbeya kuna uchawi aisee, Tena kwa kiwango cha flyover, kuna skendo nyingi sana miaka nenda rudi

-kufukua makaburi ambayo yanakutwa hayana maiti iliyoshuhudiwa ikizikwa

- kumkuta mtuu aliezikwa tayari akiranda randa mtaani

- kuna misimu ya kupiga watu nondo inasemekana damu ole huhitajika kwenye biashara, hata mapolisi nao hupigwa nondo kama wengine

- huko mbozi miaka ya 90 watu walichunwa sana ngozi

- uuzaji wa viungo binafsi nimeshuhudia albino alienusurika kukatwa alikimbilia sehem yenye watu akiwa amekatwa katwa maeneo ya sikio na shavu,

-kuna matukio kadha na kadha ya wachawi kuanguka na kukutwa alfajiri wakiwa uchi wa mnyama

- vibwengo vilikuwepo sana miaka ya 90 shule ya Mbeya day

- Japo haiusiani na uchawi kuna daraja la mungu huko tukuyu ni sharti upandie mguu wa kulia ushukie mguu wa kushoto lasivyo ni lazima tu utadondokea mtoni, utapotea wiki nzima utapatikana baada ya wiki mbele ya mto sehem maalum inaitwa parking ya mizoga.

Hii ndio Mbeya, mkoa kwenye makanisa mengi kila kona lakini baadhi ya waumini na wacgungaji wa makanisa hayo ni vinara wa ulozi,
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
...Wanakuchezea tu akili nawe umekubali! Anayekuroga has a hana hana ya kukuwekea hirizi wazi wazi ili uione!
In mkwara tu huo was kucheza na hisia zako!
Mlozi has a angeichimbia hirizi usione chochote lakini chamoto unakiona!
Jipe moyo na ondoa imani potofu kwamba Unarogwa!!
 
Back
Top Bottom