zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,486
- 1,712
Mbona huo uchawi mbeya sijawai kuona,uchawi ni pia mkuulakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.
Ukiamini upo unakuwepo kweli japo haupo..uoga wako unekuponza
Maduka pale yamejaa yawachaga na wakinga wazawa ni machache sanaa
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app