Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Umejuaje kuwa unarogwa na Wanyakyusa na sio kabila lingine? Mbeya kuna wasafwa, wandali, wamalila, na makabila Mengi mnginewe kwanini useme Wanyakyusa?Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Wanyakyusa na uchawi wa Kiarabu Wapi na Wapi?
