pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Mbeya wanaabudu sana ushirikana hili lipo wazi!
Mzee unaifahamu mbina?Nimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
Wana sura mbaya na roho zao pia ni mbayamim nmeish mbeya na n mtu wa mbeya, kiukwel huu mkoa ni hovyo kabsaa, yaan tunatia aibu, nmetembelea majiji meng hapa Tz lkn huwez kuta sifa mbaya na mbovu kama za hapa mbeya, ukwel mchungu lkn wacha uwe ivo tu, mbeya ni kwel uchafu ni mwngii tena kias kikubwa hii inatokana na uwepo wa vumbi jingi mkoni humu na ubovu wa miundombinu hata mijin barabara ni hovyo, pili huu mkoa ama jiji la mbeya ni lawakulima&wafugaj kwa % kubwa, hivy kuwakuta watu wachafu huko mijin ni kawaida, unaweza muona mtu mchafu kwel na ananukia mbolea za samadi, lkn kwenye akaunt ya benk ana mamilion yanayoweza kuwalisha wana jf wote waliokoment hii thread, pia kingine watu wa mbeya n watu waliojitenga sana yan wanaamin vyakwao zaid, mfano wana amini dini haswa naweng wao wameridhika na maisha, hivyo hubaki ktk hali ya unyonge na ufukara sabbu ya dini na mafundisho yakipuuzi toka kwa wachungaji wachumia tumbo, hata yule mwamposa mujue tu kapata nguvu toka mbeya, na yule mwakasege nae wakwetu huku huku na kuhusu uchawi ilo ni kwel kabsa, mm mwenyew nmeshuhudia na mm nmekaa hapa kwa miaka zaid ya 20 mahala nilpokuwa nakaa karbu kila nyumba kuna uchawi ama pana historia ya ushirikina, yaan kila familia ama ukoo una wachawii, na uku vifo vingi husemekana hutokana na uchawi, nakwel kuna mambo ya kutisha sana, huu mkoa unatisha yaan nmepita uko tanga, lkn mbeya aseenmewanyooshea mikono juu, huku hata biashara nyinga hasa mjin ni uchawi mtupu, lkn ukitaka ufanikiwe mkoa huu, nenda kafanye biashara mahal ambako kuna mitaa mipya yaan namaanisha sehemu zinazoendelea kwa kujengwa ama sehemu zenye mchanganyiko, na sio huku mitaa ya wanambeya kama huko mwanjelwa na mbaliz, huku kutoboa ngum asee,,ukitaka ufanikiwe mbeya kafanye biashara sehemu zenye mchanganyiko wa makabila au wageni ama mitaa mipya inayoendelea kama uyole mpya, iwambi mpya, pia sehemu znazojengwa na serkal na sio sehemu kongwe ambazo wenyeji wamekwisha jimilikisha, huwez toboa,,cha mwisho watu wa huku sura zao nikazii kazii yaan hakuna walemba sura huku wengi wao ni sura nzito za kazi tuuu wapaka poda wachache sana huku,,yaan kumkuta mwanamke mwili wa bondia ni kawaida sana, lkn usimwogope maana wanawake wa mbeya ni wakalimu japo hawako romantic, lkn wana sauti nzuri sanaa tena sana wana saut nzur kulko sura zao na roho zao,nazan mnawaona hata waimba kwaya weng wa mbeya na weng wao ni wakalimu , uku ni rahisi ukakalimiwa na mchawi mshirikina na kigagura tena akakukalimu zaid ya mzaz wako, kumbe anakulia timing akutoe kafara kwa ajari, maana ndyo walichobak nacho kuua tu,,lkn wagen msiogope wameanza kujirekebisha, dawa ya uchawi ni kuupuuza tu...Mkoa huu unakosa maendeleo sababu ya siasa zakibaguzi na upuuzi wa viongozi, huku hata viongoz wa nchi wanaogopa kutembelea sjajua nikwanin, na hata wakija bas inazuka taharuki karbia nchi nzma kuwa kiongoz fulan kaenda mbeya, pia kiongoz mwenyew akikanyaga mbeya huwa na ulinzi mkali sana,,,hivoo yan mbeya ni nchi iliyopo ndani ya nchii, karbuni mbeya, the eden of tanzania......
Wanyakyusa wamejiwekeza zaidi kwenye biashara ya ndizi, lakini khuko Tunduma na hapo mwanjelwa wengi wao ni wakingaNilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
lakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.







Usanii tuDuuh mimi nikadhani kule ni wacha Mungu wazuri...
Kwa sabbu asilimia kubwa ya makanisa + wasanii wa nyimbo za injili wanatokea kule.
Kama hayajkukuta bora kukaa kimya!Maandishi ya kiarabu yanaathiri vipi biashara yako! Mchawi wako ni hisia zako mwenyewe.