ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
7,422
7,081
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
 
Nimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
 
Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
 
ahaaaa waarabu wa pemba hujuana kwa vremba viva home sweet mbeya rudi dar ukafanye hzo ma buziness yak hapa utalia sana ata ukiuza rambo lazima tukupime....
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Tafuta mkinga wa makete akupeleke mahali utakuja niambia
 
Duh, nakubali huku nakataa! Anyways, ni vema kwamba umejiongeza na kuhama.
 
Back
Top Bottom