mim nmeish mbeya na n mtu wa mbeya, kiukwel huu mkoa ni hovyo kabsaa, yaan tunatia aibu, nmetembelea majiji meng hapa Tz lkn huwez kuta sifa mbaya na mbovu kama za hapa mbeya, ukwel mchungu lkn wacha uwe ivo tu, mbeya ni kwel uchafu ni mwngii tena kias kikubwa hii inatokana na uwepo wa vumbi jingi mkoni humu na ubovu wa miundombinu hata mijin barabara ni hovyo, pili huu mkoa ama jiji la mbeya ni lawakulima&wafugaj kwa % kubwa, hivy kuwakuta watu wachafu huko mijin ni kawaida, unaweza muona mtu mchafu kwel na ananukia mbolea za samadi, lkn kwenye akaunt ya benk ana mamilion yanayoweza kuwalisha wana jf wote waliokoment hii thread, pia kingine watu wa mbeya n watu waliojitenga sana yan wanaamin vyakwao zaid, mfano wana amini dini haswa naweng wao wameridhika na maisha, hivyo hubaki ktk hali ya unyonge na ufukara sabbu ya dini na mafundisho yakipuuzi toka kwa wachungaji wachumia tumbo, hata yule mwamposa mujue tu kapata nguvu toka mbeya, na yule mwakasege nae wakwetu huku huku na kuhusu uchawi ilo ni kwel kabsa, mm mwenyew nmeshuhudia na mm nmekaa hapa kwa miaka zaid ya 20 mahala nilpokuwa nakaa karbu kila nyumba kuna uchawi ama pana historia ya ushirikina, yaan kila familia ama ukoo una wachawii, na uku vifo vingi husemekana hutokana na uchawi, nakwel kuna mambo ya kutisha sana, huu mkoa unatisha yaan nmepita uko tanga, lkn mbeya asee




nmewanyooshea mikono juu, huku hata biashara nyinga hasa mjin ni uchawi mtupu, lkn ukitaka ufanikiwe mkoa huu, nenda kafanye biashara mahal ambako kuna mitaa mipya yaan namaanisha sehemu zinazoendelea kwa kujengwa ama sehemu zenye mchanganyiko, na sio huku mitaa ya wanambeya kama huko mwanjelwa na mbaliz, huku kutoboa ngum asee,,ukitaka ufanikiwe mbeya kafanye biashara sehemu zenye mchanganyiko wa makabila au wageni ama mitaa mipya inayoendelea kama uyole mpya, iwambi mpya, pia sehemu znazojengwa na serkal na sio sehemu kongwe ambazo wenyeji wamekwisha jimilikisha, huwez toboa,,cha mwisho watu wa huku sura zao nikazii kazii yaan hakuna walemba sura huku wengi wao ni sura nzito za kazi tuuu wapaka poda wachache sana huku,,yaan kumkuta mwanamke mwili wa bondia ni kawaida sana, lkn usimwogope maana wanawake wa mbeya ni wakalimu japo hawako romantic, lkn wana sauti nzuri sanaa tena sana wana saut nzur kulko sura zao na roho zao,nazan mnawaona hata waimba kwaya weng wa mbeya na weng wao ni wakalimu , uku ni rahisi ukakalimiwa na mchawi mshirikina na kigagura tena akakukalimu zaid ya mzaz wako, kumbe anakulia timing akutoe kafara kwa ajari, maana ndyo walichobak nacho kuua tu,,lkn wagen msiogope wameanza kujirekebisha, dawa ya uchawi ni kuupuuza tu...Mkoa huu unakosa maendeleo sababu ya siasa zakibaguzi na upuuzi wa viongozi, huku hata viongoz wa nchi wanaogopa kutembelea sjajua nikwanin, na hata wakija bas inazuka taharuki karbia nchi nzma kuwa kiongoz fulan kaenda mbeya, pia kiongoz mwenyew akikanyaga mbeya huwa na ulinzi mkali sana,,,hivoo yan mbeya ni nchi iliyopo ndani ya nchii, karbuni mbeya, the eden of tanzania......