SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
- Thread starter
- #141
Ulozi ni adui wa maendeleo
Mbona Mbeya inakua vizuri Kaka.Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
Acha kuwazingizia Ndugu Zangu Wakinga.Usikariri...wafanyabiashara wengi hapo mjini sio wanyakyusa ni wakinga..na hao ndio wenye hayo mandumbwendumwe
Hilo ndio Tatizo haswa la Waafrika Wengi kujaza mawazo ya Kishirikina Vichwani.Maandishi ya kiarabu yanaathiri vipi biashara yako! Mchawi wako ni hisia zako mwenyewe.
Ni woga wako tu.Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
Kutwa Kupuliza ila j2 mbio kanisani. Shame on uIzi nyanda ndio maana hata mkulu hakanyagi
Hapo kwenye sura tengua kauli mkuulakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.