ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

kwanza kwa Tanzania ya leo miji imaechanganyikana sana,unajuaje kwamba waliokuwa wanakuroga ni Wanyakyusa?
Pili,kwa nini hujaamini aliyekuwa anakuroga ni ni Mwarabu kwa sababu ya maanishi hayo ya kiarabu?
au umetumwa kuwaaminsha watu kwamba haiwezekani mtu asiye mnyakyusa kuishi mby...rudi shule ,hiyo biashara inahitaji shule,Mkuu ulitaka ufanikiwe katika hiyo biashara na elimu yako ya darasa la 3B?,....hmmm lkn mchawi hutambuiwa na mchawi mwenzie...nawe pia ni mchawi
Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
 
Inasikitisha sana mtu miaka hii kuamini ushirikina kiasi hiki!!!
Ushirikina upo, ulozi upo kama vila ambavyo shetani yupo. Mungu amewapa watu uhuru wa kuchagua njia ya kuiendea. Wanyakyusa wamechagua ushirikina kwa sababu za unafiki, na uonezi, ubaguzi kwa sababu za wivu na ubinafsi. Na ndiyo sababu mji wa Mbeya ungelikuwa unawatu binadamu, bila shaka ungelikuwa mbali sana kimaendeleo.

Kwa ajili ya hayo, ni kwamba watu wa Mbeya ni washirikina na usijidanganye, ushirikina huo wanatembeaga nao kila wanakoekda. Kaa nao kwa akili.

Wewe kaa nao kwa Nguvu za Mungu. Kurogwa na kuathirika na washirikina, hakuhitaji wewe uamini kwa kuwa uamini uasiamini utaona watakayokufanyyia hao vigagula.
 
Mkuu kuna wale watu imani ya dini huwa imewajaa sana. Wanaamini wanaweza wakaomba na magonjwa yakatoka, ukimwi ukapona, wakawa matajiri, wakapata watoto, wakafufua watu, wakaponya vichaa, wakaponya vilema nk.

Na wanaoamini sana ushirikina(washirikina) kama wewe, huwa wanaimani kali sana kuwa uchawi unaweza wadhuru, kuwaletea magonjwa, kuwapa utajiri, kulipa visasi, kupaa😀, kuwatibu magonjwa, kuleta Nairobi Fly😀,kuleta ajali za barabarani, kuleta ajali za moto nk.
Extrimism kwenye hizi imani ni dalili ya ujinga.
 
Ushirikina upo, ulozi upo kama vila ambavyo shetani yupo. Mungu amewapa watu uhuru wa kuchagua njia ya kuiendea. Wanyakyusa wamechagua ushirikina kwa sababu za unafiki, na uonezi, ubaguzi kwa sababu za wivu na ubinafsi. Na ndiyo sababu mji wa Mbeya ungelikuwa unawatu binadamu, bila shaka ungelikuwa mbali sana kimaendeleo.

Kwa ajili ya hayo, ni kwamba watu wa Mbeya ni washirikina na usijidanganye, ushirikina huo wanatembeaga nao kila wanakoekda. Kaa nao kwa akili.

Wewe kaa nao kwa Nguvu za Mungu. Kurogwa na kuathirika na washirikina, hakuhitaji wewe uamini kwa kuwa uamini uasiamini utaona watakayokufanyyia hao vigagula.
Ila kweli wanyakyusa wana wivu balaa
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
maneno ya kiarabu kumbe ..mm nikajua ya kinyakii hamna mwaisa shekhi
 
kuwa na hakika yule si mnyakyusa na mbalali hawaishi wanyakyusa
Hapo mbalali ni hatari sana. Majuzi c ndio gari ka Isamilo lilidondoka. kuna dada mmoja na mtoto wake wakafa. Kumbe kuna mu babu wa hatari?!!
 
Nashangaa sana Mbeya maji yapo lakini wenyeji wachafu hata kuoga shida hawa jamaa sijui wana matatizo gani...
Mimi nilijua ni baadhi ya niliowaona. Nilikutana nao A level ni wachafu balaa, nikaja chuo nikatoka na manzi mmoja wa uko ni mchafu, wenzake wa uko ni wachafu. Nikawa naongea na manzi mmoja nilisoma nae yuko MUST akanambia ule mji mchafu balaa. Mpaka hapa huwezi badilisha mtazamo wangu, ni wachafu!
 
Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
Duh, po mbombo ngafu!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
😂 Vipi mzee mbona una hasira nao walikupumulia nini
 
Kama nyumba za hapa Soko matola jamani yani ni magofu nyumba zimechoka balaa
Wanyaki bila kualika/kuwakaribisha wawekezaji nje ya meya huo mji utabaki kuwa magofu na mbavu za mbwa kama ulivyo sasa! Badilikeni.
 
Mbeya ndiko kuna ugagula na ujima wa kudhikisha wageni. Kisa ni wivu na ushamba!. Full stop. Mbeya hakuna mchanganyiko. Na kwa kuwa wengi nihao hao magagula, malaya, wivu na washamba, wageni wako kivyoa wanajitenga mbali sana na ninyi. Lakini bado mnawafuata. Mbeya ni mijitu mikatili isiyo na huruma. Finyamana!
Kumbe ndio walivyo
 
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.

Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.

WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Mkuu Mwanjelwa siyo eneo la wanyakyusa, ingekuwa Rungwe au Kyela sawa, hapo kuna mchanganyiko wa Wakinga, wasafwa, Wandali, Wanyiha,Wanyamwanga, wambugu, wamamalila, wasangu........hapo ni mchanganyiko wa makabila mengi sana,Wanyakyusa unawataja kwasababu ni wengi ila kwenye Biashara hapo inawezekana ulikuwa unashindana na mkinga, hao lazima ukimbie tu no way
 
Back
Top Bottom