Ulokole wa wana Jf

Ulokole wa wana Jf

tatizo lako unaongea sana bila kusindikiza point zako na reference za pesa, ila kama ni ulokole nawe uite sadaka badala ya hongo.
 
kwani wote wenye majina ya kike na Avator za kike Humu JF ni wanawake, wengine ni wanaume nadhani na wewe ndio uliowatokea
Yeye mwenyewe ndiyo mfano wa kwanza kwa kuweka avatar za kike wakati yeye ni dume. Na wengi humu wakati ule tuliwahi kumuuliza jinsi yake lakini hakutujibu, akaishia kuiondoa ile avatar yake ya utata.
 
boflo hufai.mgeamalizana huko huko PM,kutongozana mtongozane PM,Vibuti mnakuja announce MMU
 
snowhite unanitengulia swaum mama. Mie sijamchuna Boflo bila ushirikiano wako!

we mi nilikwambie tumchune kidogo mwenzangu unang'oa mifupa kabisa!
simfanyie hvo mtoto wa mwanamke mwenzio! Boflo bora tu ungeendelea kuchunwa na mimi ,huyu binti Mtambuzi ehehehhehe hakuna rangi utaacha kuona!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mpaka huku ???????????????????????????????????????????:lie:

Kwani mapenzi ya kweli yanakuwa sehemu fulani tu!
Mi sina mipaka ktk kumpenda(original) Yesu!
Lbd wewe unampenda part time!! The (fake one)
 
halafu nikwambie kitu
wakati natumia ile avatar ya yule mhubiri maarufu kule nigeria
nahisi ni Boflo alinitokea akijua i am a man,
jamani daaah, Boflo niseme au nisiseme.

Please Mamndenyi, hii usingechangia, jamaa anaweza kukutokea huyu! Joke.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana the only people uliokutana nao wenye hulka hiyo wame deform mtazamo wako juu ya walokole.
Yamkini wengi wao uliokutana nao wewe ni wale wanaojificha katika uvuli wa ulokole ambao wako wengi sana huku duniani kwa sasa. Na walokole wanaojijua kuwa wameokoka wala hawatakwambia kuwa "mi mlokole so i dont do this and that" Utawaona tu kwa matendo yao. Bonny Mwaitege aliimba UTANITAMBUAJE


Hao walokole ni wanafki wakubwa. Kama si wanafki basi wanaumwa akili au wako mbioni kuumwa akili.

Wale wanafki ndo vinara wa maovu. Ulokole wao ni zuga tu. Ukiwachimba kwa kina utagundua wengi ni mafisadi mamboleo.
 
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"


Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???

cc felinda nameless girl

Labda ukiamia FB waweza kuwapata bila kutumia kisingizio cha kuokoka!
 
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"


Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???

cc felinda nameless girl

yani wewe upo humu JF kunasa watu? huoni aibu mkuu? watu wapo humu kusaidiana matatizo na changamoto zinazowakabili katika maisha hususani ya ndoa na mahusiano (kwa jukwaa hili). wewe unataka ngono? naamini ungekuja na gia ya kutafuta mchumba yamkini wangekuelewa! wewe wataka kunasa watu ni kweli hatukosi kuzijua hila za shetani! wana JF wote kuweni makini na huyu mtu anaitwa Boflo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom