Nimekuhonga sana ....lakini sijapata kitu....majanga
mwa ha ha
-mmetendwa sana 97.999%
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu 1%
-mmesoma sana 1%
-mmeokoka kweli??? 0.001%
cc felinda nameless girl
Hata mimi nampenda Yesu vilevile!
Lln yule Yesu original!
Mimi pia nimeokoka mlokole lakini nimeokoka kwa bibie Mamndenyi
Eti anapeleka uhendsam kwa watoto wa siku hizi..!? watampa vifungu vya baibo mpaka aseme hiki nini..!!??
- .......
Bibie Mamndenyi I miss you........................... ...:smile-big::A S kiss:MziziMkavu kunidanganya tu,
ungeokoka kwangu si ningekuwa napika futari saa hii,
haaaa, shauri zako.
MziziMkavu kunidanganya tu,
ungeokoka kwangu si ningekuwa napika futari saa hii,
haaaa, shauri zako.
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
cc felinda nameless girl
Aafu wewe ndo swaga zako hizo, unakumbuka ulivyonambia ili nikupate nianze kusalí kwa Tb Joshua..!? nilivyokuonesha madolari tu ukaweka baibo kando. (asiione Mr Rocky)
Hawanitaki kivipi??
wao ndio wanani pm kwa sana, namba za simu wana nipa wao,
na mimi sicheleweshi, ndipo najibiwa ameokoka...kweli haya majanga
Hehehe hivi uliponihonga nilikupa risiti ya kampuni gani? Ile tunatapeli ltd ama magumashi plc?