Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,580
- 48,938
kwani wote wenye majina ya kike na Avator za kike Humu JF ni wanawake, wengine ni wanaume nadhani na wewe ndio uliowatokea
kuna watu humu wana ID nyingi za ke na me..
kwani wote wenye majina ya kike na Avator za kike Humu JF ni wanawake, wengine ni wanaume nadhani na wewe ndio uliowatokea
formula gani??
au niwe narusha feza kwanza via tigo/mpesa.
Hawanitaki kivipi??
wao ndio wanani pm kwa sana, namba za simu wana nipa wao,
na mimi sicheleweshi, ndipo najibiwa ameokoka...kweli haya majanga
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
cc felinda nameless girl
Madame hata mie kama vipi nikufundishe mapambio yakusifu
formula gani??
au niwe narusha feza kwanza via tigo/mpesa.
Watongozee hapa hapa ili akuone na akuoneshe unapokosea!
hiv na ww umeokoka?
halaf ile ishu vp?
Kwani ukiniangalia hapo unanionaje?
BTW, ishu gani tena?
lol huyu huyu naemfaham wa kugonganisha magari?
Boflo ile avatar yako vipi irudishe basi mkuuWadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
cc felinda nameless girl
tatizo ni kwamba wale ambao unawahitaji wenyewe hawakutaki ndio maana wanasingizia wameokoka. Penda unapopendwa.
Teh! Teh! Teh!
We kama una tabia ya kugonganisha magari usidhani na wengine tupo hivyo.