Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hao walokole ni wanafki wakubwa. Kama si wanafki basi wanaumwa akili au wako mbioni kuumwa akili.
Wale wanafki ndo vinara wa maovu. Ulokole wao ni zuga tu. Ukiwachimba kwa kina utagundua wengi ni mafisadi
mamboleo.
Mwaaaaaah Kipipi Miss you mpenzi!
ok sawa....Jibu kwanza maswali.
Wadada wa humu ni
Wagumu sana kuwanasa,
Na jibu lao kubwa ni "Nimeokoka"
Kwa nini mko hivi jamani? Nini sababu?
-mmetendwa sana
-hamtaki kuwasiliti wapenzi/waume zenu
-mmesoma sana
-mmeokoka kweli???
ok sawa....
Swali gani ebu nikumbushe tena mumy