Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,857
- 7,336
Kumbe umezaliwa bongoland ndio maana. Vp mkuu huko mnasikiliza mziki wa bongo? Kama kweli ni wasanii gani wa bongo wanatamba sana huko?Teh teh teh teh teh teh teh !!! Kwa hiyo, mtanzania aliezaliwa Rwanda akija kwenu na kuongea Kinyarwanda, ataonekana mnyarwanda!
Japokuwa tukiachilia mbali mihemuko na roho mbaya, rwanda na Tanzania ni majirani, hivyo ...................................
Sasa huko ni kufosi.Kwan ukikubal kwenu Rwanda tutakufukuza?
Mpaka "Kudinywa " na "misambwanda " anajua huyu si wa Buza kwa Lulenge kabisa au mods wanasemaje ?Mkuu una uhakika wewe ni mnyarwanda? Mbona unachalaza Kiswahili kama mzaramo wa manzese kabisa.
Huyu muhuni mwenzetu kabisa sema Rwanda bahati mbaya.Mpaka "Kudinywa " na "misambwanda " anajua huyu si wa Buza kwa Lulenge kabisa au mods wanasemaje ?
. Karusisi: Hakuna mnyarwanda kwenye cheo chake ni mungu-mtu. Amekuwepo, ametekeleza majukumu yake, na wengine wanahitaji kupata uzoefu.
Sijui kitu gani unachokiita kutimua: Je, kama anakopelekwa kunahitaji mwenye uzoefu alio nao, au anatakiwa pia na yeye ajifunze mengine, atakuwaje ametimuliwa!!! Gashugi nae ana haki ya kuwa na madaraka kwenye nchi yake, kama amekidhi vigezo. Katoka sehemu moja, kahamishiwa kwingine, na baada ya muda atakabidhiwa mwingine.
Rwanda haiogopi kuwekewa vikwazo. Ni kweli msaada kama upo, ni msaada. Ila usipokuwepo, maisha yataendelea.
Mwaka 1994 Rwanda iliishi kwa msaada wa nani? Mara mia Tanzania iliyopokea wakimbizi, ikawapa hifadhi na mahitaji mhimu,itaheshimika miaka mia kuliko hao wa mbali, ambao misaada yao ina masharti.
Nchi tajiri labda unaipima kwa vigezo gani!! Rwanda ni nchi inayojitafuta, siyo nchi tajiri. Japo pia si masikini kihivyo.
GDP ipo kwenye Dola elfu moja na kitu
Ukitaka wa kuoa utampata, ukitaka wa kuzaa nae tu nae utapata.Ndoto yangu ni kuzaa Na mnyarwanda uzuri naongea kishubi cha ngara najua tunasikilizana vizuri.
Naoa kabisa mkuu sema itabidi uwe mshenga.Ukitaka wa kuoa utampata, ukitaka wa kuzaa nae tu nae utapata.
Ila kumbuka, siku ya kwanza unawaza kuzaa na mtu tu, ndo siku ya kwanza kuanzisha janga la kizazi kilichozagaa
HahahahahahahKumbe umezaliwa bongoland ndio maana. Vp mkuu huko mnasikiliza mziki wa bongo? Kama kweli ni wasanii gani wa bongo wanatamba sana huko?
Kwa mchele wa Tanzania, ni kati ya 2500 hadi 3200. Hizi ni Grade II na III, Grade I yenyewe haipo.
Kama ni mfanya biashara, cgangamkia fursa hii: Rwanda hapo mpakani kuna soko la kisasa. Mazungumzo baina ya uongozi wa wilaya za mpakani, wameamua kupeleka bidhaa za kitanzania sokoni humo, ila mfanyabiashara awe anafahamika kuepusha hali ya ujanja ujanja na kuweza kufatiliwa inapokuwa lazima. Hivyo, ukiwa na stock huko au mpakani upande wa Tanzania, uhakika wa kuuza upo.
Teh teh teh teh teh Unajua wangapi mkuu? Hii kali sasa. Hili linahusu wanawake wa Kinyarwanda, halihusu Rwanda ๐ ๐ ๐Ni kwanini wanawake wa kitutsi wanakojolea kopo hata kama chumba kina master?
Niongeze na msokolokwinyo na kushenyetwa sasa!!!Mpaka "Kudinywa " na "misambwanda " anajua huyu si wa Buza kwa Lulenge kabisa au mods wanasemaje ?
Hakikisha mtaani kwako una sifa safi. Vinginevyo, wewe ni MY WETU. Hahahahahaha Wanawake wa Kinyarwanda ni kama maziwa, HayaonjwiNaoa kabisa mkuu sema itabidi uwe mshenga.
Niongeze na msokolokwinyo na kushenyetwa sasa!!
Nkajua unasema nihamie Kongowe๐๐๐๐๐๐Kongole kwa kujibu maswali vizuri.
Hakikisha mtaani kwako una sifa safi. Vinginevyo, wewe ni MY WETU. Hahahahahaha Wanawake wa Kinyarwanda ni kama maziwa, Hayaonjwi
Tz umekaa kwa mda gani mkuu?Nkajua unasema nihamie Kongowe๐๐๐๐๐๐
Akhaaa kwa hiyo, leo ndo unaninyangโanya uraia sasa! Basi ntahami CHAURU(huko Ruvu)๐๐๐Tz umekaa kwa mda gani mkuu?
Inategemea na wenye kanisa au ibada husika: ila kinyarwanda, kifaransa, kingereza.Rwanda kanisani wanatumia lugha gani kwenye ibada