VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
- Thread starter
-
- #101
Haujaisha kivile,Swali kumaliza ukabila Rwanda ili yasijirudie ya Genocide Rwanda imechukua hatua zipi kuhakikisha ukabila hauna nafasi Rwanda?
Bado tunarudi pale mwanzoni.Umejibu vizuri
Kwa nini Rwanda kuepuka hilo tatizo kwa nini haikuongea na nchi jirani zake wawachukue hao wakimbizi wa Rwanda wawape uraia kama ilivyofanya Burundi kuongea na Tanzania na Tanzania ikakubali kuwapa uraia wakimbizi wa Burundi 250,000 na kuwapa vitambulisho vya taifa ili wawe raia wa Tanzania?
1. Sijui1. Ni nani ambaye pengine anaandaliwa kumrithi Mr. Tall, akiondoka madarakani?
2. Mfumo wa elimu ya Rwanda ukoje? Kuanzia msingi mpaka vyuo.
3. Mfumo wa matibabu ukoje, huduma za afya zinapatikana kwa urahisi?
Watu wengi wanatumia bima ya afya?
Je serikali inagharamia matibabu kwa baadhi ya makundi ya watu?
4. Rwanda mnachimba madini gani hasa?
5. Kwa nini unasema Rwanda ni masikini wakati mmewekeza mpaka kwenye baadhi ya vilabu vya mpira ulaya (Arsenal, PSG nk..)?
6. Vipi huko Rwanda umeme ni tatizo kubwa? Kuna mgao wa umeme? Vijiji vyote vina umeme?
7. Je huko pia kuna machawa? 😂
Ahsante sana!
So unaachivu nini kama watu wanakaa na kisasi si ni suala la muda tu yatatokea yale yale. Yaan kundi kubwa la watu wakae nje ya maamuzi halafu ujione uko salama. Unatengeneza aman bandia kwa kuwatisha watu. Ikotany ikiongozwa na kaberebe imeua wahutu milion 4 lakin kwasababu kwasasa ulaya na marekan iko upande wenu watu wanawaangalia tu. Lakin pia chanzo cha genocide nani asiyejua aliyesababisha kifo cha rais marehemHizo picha sidhani kama sina cha kufanya, kwa sababu wanyarwanda wanachokiangalia ni umhimu wa fulani kwenye nafasi aliyo nayo.
Mtutsi anayesimamia haki, na mhutu anaesimamia wazo la kuua watutsi. Bora nani?
Hao inkotanyi, wawalipe tabasamu wauwaji?
Una kila haki ya kuumia kwa sababu marehemu raisi alitaka kutengeneza kizazi kisicho na chimbuko. Alichokitoa, ndo alichokipata.So unaachivu nini kama watu wanakaa na kisasi si ni suala la muda tu yatatokea yale yale. Yaan kundi kubwa la watu wakae nje ya maamuzi halafu ujione uko salama. Unatengeneza aman bandia kwa kuwatisha watu. Ikotany ikiongozwa na kaberebe imeua wahutu milion 4 lakin kwasababu kwasasa ulaya na marekan iko upande wenu watu wanawaangalia tu. Lakin pia chanzo cha genocide nani asiyejua aliyesababisha kifo cha rais marehem
Sio ndoto na nina imani wananchi mtafurahia uhuru mlioukosa.Maoni yao ni kwamba hizo ni ndoto, na mwenye wazo hilo ni mjinga.
1. Sijui
2. Rwanda shule ya msingi ni miaka 6, sekondali miaka 6(O level miaka 3 na A level miaka 3) Kwa sasa kuna kitu kinaitwa 9 years Basic Education. Unasoma shule ya msingi miaka 6, na 3 ya O level sehemu moja.
Kwingine ni 12 years Basic Education. Yaani miaka yote 12 unasomea sehemu moja.
Elimu kwa ujumla imekumbwa na changamoto ya mfumo. Zamani, kulikuwa na mfumo wa kifaransa, badae ukageuzwa kuwa wa kiingeleza. Hivyo, waliokuwa wakisoma mfumo wa kifaransa, walipata changamoto ya kuadapt lugha.
Mbali na hilo, uongozi wa Wizara unaokuja, unakuja na mapya yake. Labda vyuo vikuu, na kwenyewe badhi ya sections furani, kama sheria, nursing,ICT, ndo unakuta wameiva sana.
Ila wasomi wengi, wapo chini ya kiwango
3. Mfumo wa matibabu, wanywarwanda wamegawanywa katika makundi 4 kulingana na uwezo wao. Kundi la kwanza, linasaidiwa na serikali kulipiwa.
Kundi la pili na la tatu, kila kichwa cha familia ni Faranga elfu 3(karibia elfu 6 ya Tanzania). Kundi la 4 ambalo ni la watu wenye uwezo wa juu, kila kichwa cha familia ni elfu 7(Karibia 14 ya kitanzania).
Kwa ujumnla, upatikanaji ni rahisi, kwa sababu kila raia ana access kwa daktari. Na kabla hujafika huko, nchi nzima kuna wahudumu wa afya, kila kitongoji, ukijisikia vibaya unamuona. Huduma za kwanza wanatoa, na dose kama za malaria na magomnjwa madogo madogo unapata hapo hapo. Ikiwa ni kesi iliyo nje ya uwezo wao, kuna zahanati za kata. Hapo wakiferi, unaenda kituo cha afya. Kesi yako ikiwa kubwa, unapewa referal kuelekea Hospitali ya wilaya.
Kwa hiyo kuna bima ya afya ya Pamoja(CBHI Community Based Health Insurance), na bima za mashirika. So, ukienda kwa ajili ya matibabu, unalipia 10% ya gharama zote, hata ulazwe miaka 10.
uongozi wa wilaya ukibainisha mtu hana uwezo, serikali inaghalamia 100%
4. Rwanda, madini yapo. Kuhusu labda tetesi za wanaossema ya DRC. Hilo sitoliingilia, lakini inawezekanaje mashariki ya Congo yote iwe na hizo ressources, then zisivuke mpaka! Sema tu kwa kuwa ni nchi ndogo, na technologia labda isiwe kubwa kama ya migodi ya kifahari, na uchimbaji wake ni wa masharti, lakini madini yote yapo. Labda nitafute majina.
5. Umasikini naouongelea, ni hatua ya maendeleo ukilinganisha na nchi jilani zilizotangulia, au na maisha kwa ujumla. Uwekezaji kwa timu za nje, ni kwa ajili ya kuhamasisha watu kuja kuwekeza ndani na kutengeneza ajira. Jambo hilo linasaidia kupunguza ukosefu wa ajira. Pia, ukilinganisha na nchi jirani,fursa za kimaisha ni tofauti na za nchi hizo. Hivyo,niseme ni nchi ambayo inajijenga, miaka 30 ni muda mfupi sana kuweza kufikia hatua za waliokutangulia.
6. Rwanda mgao wa umeme hakuna. Inaweza tokea labda kama kuna marekebisho. Vijini umeme unasambazwa, nadhani kwa sasa wanyarwanda 70% au zaidi kidogo wana umeme. Kukatika ni kama 5%
7. Nahisi uchawa unamaanisha kujipendekeza: Rwanda unalipwa kwa kile ulichokifanya na chenye manufaa kwa jamii.
Ukizingatia, ni nchi cganga,chama tawala cha RPF ndo kimekuwepo kuhakikisha kila jambo linatekelezwa. Vyama vya upinzani, vingi vilionekana kutaka kurudisha mfumo wa kikabila,havikupewa nafasi.
Hata vilivyopo, ni kwa misingi ya chama tawala. Upinzani utakuwepo kuhakikisha wanaikosoa serikali kwa yale yasiyokuwa sahihi, na sera zenye mashiko. Sasa, wenye sera hizo, utakuta ni mtu anaehitaji kujenga jina kisiasa au kujipatia chochote tu.
Kama sijajibu vizuri uliza
Tukiachana na mengine kama hayo vp kuhusu suala la PK kuogopeka hasa ndani ya Rwanda kuwa ni rahisi kumtukana Mungu (kwa wenye iman na mambo ya uwepo wake) ila ikawa ni kawaida ila sio kumsema kwa mabaya PK pia kuwa mkosoaji wa utawala wake,Una kila haki ya kuumia kwa sababu marehemu raisi alitaka kutengeneza kizazi kisicho na chimbuko. Alichokitoa, ndo alichokipata.
Kisasi hicho lazima watu wawe nacho, na ndo maana serikali inalazimika kuwa karibu na kutoacha mianya ya kulipiza visasi hivyo, bali kuendelea na safari ya kuelimisha watu kuuhusu madhara ya visasi hivyo
vp kuhusu wwSiyo wengi kwa sasa. Antena utazikuta nje ya miji na kwa watu wazima. Chama cha #chapawatu wazima ndo wanaenjoy
Sijuivp kuhusu ww
Dah!Tukiachana na mengine kama hayo vp kuhusu suala la PK kuogopeka hasa ndani ya Rwanda kuwa ni rahisi kumtukana Mungu (kwa wenye iman na mambo ya uwepo wake) ila ikawa ni kawaida ila sio kumsema kwa mabaya PK pia kuwa mkosoaji wa utawala wake,
Ninyi kama watu wa taifa hilo mnazungumziaje suala la PK kuwaua na kuwapoteza watu wanaokitaka kiti chake mfano yule binti aliyeuawa miaka ya hivi karibuni je, mambo kama hayo yanawafurahisha ama ndio hamna pa kusemea???
Pia unazungumziaje suala la PK kufungia makanisa je, kwenu Raia linawafurahisha na adhma yake ni kupambana na watu ambao huenda wana plans na agenda zao tofauti na mambo ya uinjilisiti ama movement za kisasi kwa jamii zinaupinga utawala wa PK na wanyarwanda zinaweza kuanzia huko ndio maana anazuia makanisa kuwepo kwa wingi???
mkuu ww ndo una akili za kiccm, karudi kwanza shule usome tofauti ya war na peace keeping afu uje hapa tuendelee na mjadalaakili za kisisiemu hz , vita ngap mmepigana ? Rwanda yupo huko DRC sio UN na SADC , pia afrika ya kati pia Uganda pia Msumbiji etc wapo vitan tangu mwaka 1986
Je utaifa wako wewe? Ni raia wa Rwanda?Kwa wanyarwanda waliopo Rwanda, ni milioni karibia 14. Waliopo nje, si chini ya milioni 2
Hao makabrasha ndiyo Nani?Kama ilivyo kwa waTanzania, hilo ni jambo jepesi.
Kikubwa, familia yake ihakikishiwe usalama wake. Maana kutokana na mambo ya siku za nyuma, wengi(ambao siyo makabrasha), hawaamini kama Tanzania ni sehemu salama kwa mnyarwanda
Kuna akili za kiCCM kumbe? Nambie inakuwaje?mkuu ww ndo una akili za kiccm, karudi kwanza shule usome tofauti ya war na peace keeping afu uje hapa tuendelee na mjadala
-Kiswahili si moja wapo wa masomo yanayofundishwa, kwa sababu walimu wa kiswahili si wengi, au hawapo.Umejibu vizuri mkuu., ahsante.
-Je Kiswahili ni mojawapo ya masomo yanayofundishwa shuleni?
-Makala yako (nyuzi zako) nyingi humu JF huwa unaandika kwa Kinyarwanda, kwa nini usiwe unaandika kwa Kiswahili au Wanyarandwa Kiswahili kwao sio kipaumbele?
-Vyakula maarufu huko Rwanda ni vipi?
Namaanisha wahuni wahuniHao makabrasha ndiyo Nani?
Hahahahahaha swali gumu hilo, mi nipo tu hapa JF, hata sijui raia wa nchi gani. Kikubwa tu hakuna nisichokijua kwa nchi nyingi hasa za EACJe utaifa wako wewe? Ni raia wa Rwanda?