Uliza chochote kuhusu Rwanda

Wana vitu gani vya kitofauti katika Biashara vinavyofaa kuleta Tanzania
 
Wana vitu gani vya kitofauti katika Biashara vinavyofaa kuleta Tanzania
-Kuna vitu vya viwanda vya ndani, kama maziwa, juice,beer, Liquors,..........
-Vingine imported, hapo ndo sijajua wanaleta kutoka nchi mbalimbali.


Nachokichua tu ni kwamba, RSB(sawa na TBS), wapo makiini sana,sana. Ukiona kitu kipo sokoni, Rwanda, hata nchi zinazoitwa zimeendelea, kina soko la uhakika.

Kingine, ni export ya matunda. Matunda wanapeleka nje sana, tena sana. Ukijua njia wanazotumia(vibari vinavyotumika) na vigezo vya vinavyopelekwa, nadhani ni fursa nyingine. Parachichi mnazosagia juice, wenyewe UAE na Uraya wanauza kwa kilo, na bei ya kilo, ni hela unayotoa kijiji kizima
 
Asante sana, Vipi Gharama za sehemu ya kuishi, mfano kupanga?
 
Asante sana, Vipi Gharama za sehemu ya kuishi, mfano kupanga?
Maisha ya rwanda ni ghari si kama kwenu. pesa ya Rwanda iko juu. Kwenu, nyumba ya laki 5 ni nyumba kweli. Lakini ya aina hiyo, kwa Rwanda, kuipata ni kama Milioni na nusu au na zaidi. Na kiukweli, kama hujiwezi, ni ngumu. Kupata chumba self, ni nadra. Chumbo kinachoweza kuingia kitanda 6*6, ni nadra.

Gharama, zinategemea na kipato.
 
Nimeshatembelea vikosi vya jeshi vyote nchini kasoro viwili na kufanya tenda za wizara ya ulinzi siongei nadharia ndugu yangu. Tanzania hatuna jeshi.
Tangu mwanzo umeandika taarifa ambazo si sahihi, na bado unaendelea kuandika taarifa ambazo si sahihi.

Swali, ni kwa faida ya nani?
 
Rwanda ninaipenda kwa sababu ya PK
Sema uyo Rais wenu safi sana
 
Jeshi wapi wakati mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda na Uganda ? Mbona unaleta mambo ambayo hayapo nenda hata hapo Lugalo ingia ndani utaona uozo mpaka utashangaa ? Nyie mnatetea ujinga wakati kila kitu kipo wazi.
Uozo upi?
 
Kwa mara ya kwanza nitafanya nini ili nipate sehemu ya kuishi
 
Kwa mara ya kwanza nitafanya nini ili nipate sehemu ya kuishi

Rwanda, madalali wapo. na ni maelewano wala hawana njaa kama hao wenu, kwamba ukilipia, mwezi mmoja wa dalali. Mtakachokubaliana, ndo hicho.
Na ukiwa mgeni, heshima yako iko pale pale, huwezi kupata bugdha yoyote.
 
Nawe mkuu kuna nn cha kuchukuwa Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…