Maswali magumu kama nondo wangu.Kitu gani cha kawaida kujadiliwa na raia lakin serikali haipendi kuona likijadiliwa?
Mambo gani matatu ambayo serikali ya rwanda ni dhaifu kwayo?
Tabia gani mbaya ambayo wanyarwanda wamezifanya kama tamadun, kama watz walivyo machawa chawa, waongo waongo na wapenda rushwa???
Ingekuwa hivyo, pengine angekuwa ameolewa na watu wengine kutoka familia za juu au wanajeshi.Kuna ukweli gani kuhusu binti wa PK kuzuiliwa kuolewa na chaguo la mtima wake ambae ni kijana wa kimaskini kisha kulazimishwa kuolewa na mwanaume mwingine ambae ni mtoto wa kigogo , hii inaonyesha ni kwa namna gani serikali chini ya Rais wenu haiheshimu watu wa tabaka la chini na pia kutoheshimu faragha za watu, hili lina ukweli wowote ama niache kuhudhuria vikao uchwara za vijiweni???
Hahahahahaha, asante sana kwa swali zuri.Pia huko Rwanda kuna wazee wa kusifia kama huku kwetu, na pia zikiwepo shughuli za kichama au kiserikali wasanii na watu mashuhuri hujutokeza kusifia na kutoa pambio za kingese, mzee PK huwa ana react vp anaposifiwa sifa za kindezi kama huku kwetu akisifiwa na mtu, mtu huyo huramba teuzi???
Leta data mkuuHukumbuki tuliwasambaratisha m23 aka Rwanda army mpaka Rais wao paka akaanza kulialia?Tanzania ikiamua wiki tu wanajeshi wetu wanakunywa chai hapo ikulu yenu.mnaionea DRC kwa sababu ni failed state.
Jamani eh, uzi wangu unamruhusu kila mtu kutoa maoni yake, hivyo nisingependa kuona kuna ugomvi baina ya watu hata wasiofahamiana. Najua wazi, kuna wengine wanapoteza muda tu bando wanalo la uhakika, na wenyewe majibu yao ninayo karibu.ungeanza wewe kujiheshimu sio unakuja hapa na stress za maisha unaleta mdomo mrefu kama mwaka wa njaa
Ukweli unauma Jeshi tulikuwa nalo zamani. Sisi ndio tuliwapa mbinu za kivita wapigania uhuru wa Afrika Kusini,Msumbiji, Angola na Namibia. Lakini leo hii tumeshindwa kuwapiga magaidi walioua raia wa Tanzania Msumbiji. Tumeshindwa kuweka amani (sio vita) Goma mpaka kanali anakimbia vita mpaka wa Rwanda. Mnaotetea JWTZ ndio wale wale mnaotetea UDSM. Najua kuna watanzania wanafikiria kuwa UDSM ndio chuo bora East and Central Africa. Na kuna. Watanzania waliolala wanadhani JWTZ ndio ina Infantry bora duniani. 😂😂😂😂😂😂 Nchi yetu imeshuka kiwango sana. Tukiendelea hivi ndani ya miaka 30 tutakuwa kama Congo.Unaenda mbali Sana. Weka akiba ya maneno.
Asante sana.Nimesoma maandiko yako unaandika kiweledi sana hadi nikasema unatumia msaada wa AI au Co Pilot Labda
Any way vichwa vya watu vinatofautiana sio wote wanajibu kwa msaada wa computer 🖥️ huenda ni brain yako kweli
Sasa nisaidie kitu I'm serious nataka Kuja fungua duka rwanda je eneo la mjini kama kariakoo linaitwaje na bei za fremu zipoje kwa mwezi, na pia mzunguka wa duka la nguo special za watoto, au za kike na kiume ni zipi zinauzika zaidi
Na pia procedure gani unapaswa kufuata na mgeni awe na mtaji wa kiasi gani kufungua biashara huko
Na Regulation za Huko zipoje
Vipi kuhusu mfumo wa elimu nchi Rwanda upoje, maana sisi huku tia maji tia maji mara tunaambiwa wahitimu wa vyuo vikuu waende VETAAsante sana.
Mimi situmii chochote tofauti na tikiti langu(kichwa). Na nimeanzisha huu uzi baada ya kuona watu wengi wanaijua Rwanda tofauti na ilivyo. Ulikua muda wangu wa kuwapa ukweli(na vidonge pia 😀 😀 😀 😀 ).
Eneo la mjini, linaitwa Quartier Matheus (Soma Karitsie MATEUSI).
Maduka ya nguo, hasa ya jumla, utayapata humo. Ya rejaleja, Nyamirambo ndo mahali pake.
Bei za fremu, mpaka niulizie, najua hapo mjini kati, wanakodi kwa square meta. Kumkuta mtu ana fremu peke yake, mkuu, sijui umejipangaje, lakini huyo zipo. Nguo zozote zinauzika. Japo kwa ushauri wangu, kama una uwezo wa kufuata mzigo na kushusha mwenyewe, ni rahisi hata ukiwa na stoo. Kama unavyojua, wasioweza kwenda China, mizigo nguo hufuata Kariakoo. hata wa Congo pia huja Kariakoo.
Procedure si nyingi kwa sababu ni vitu vipo online, si mambo ya leo upo ofisi hii, kesho ile. Na gharama za kufungua biashara, ni 0. Labda kama utahitaji msaada kama stationary.
Raia wa EAC hawana masharti,unaona panakufaa, kaa. Kuna chochote unachoweza kufanya, uko huru.
Regulations, naomba unieleze unamaanisha nini
Nimeelewa ufafanuzi wako, Nikisema regulations namaanisha napswa kwenda ofisi gani kuomba kufungua biashara Mfano.Asante sana.
Mimi situmii chochote tofauti na tikiti langu(kichwa). Na nimeanzisha huu uzi baada ya kuona watu wengi wanaijua Rwanda tofauti na ilivyo. Ulikua muda wangu wa kuwapa ukweli(na vidonge pia 😀 😀 😀 😀 ).
Eneo la mjini, linaitwa Quartier Matheus (Soma Karitsie MATEUSI).
Maduka ya nguo, hasa ya jumla, utayapata humo. Ya rejaleja, Nyamirambo ndo mahali pake.
Bei za fremu, mpaka niulizie, najua hapo mjini kati, wanakodi kwa square meta. Kumkuta mtu ana fremu peke yake, mkuu, sijui umejipangaje, lakini huyo zipo. Nguo zozote zinauzika. Japo kwa ushauri wangu, kama una uwezo wa kufuata mzigo na kushusha mwenyewe, ni rahisi hata ukiwa na stoo. Kama unavyojua, wasioweza kwenda China, mizigo nguo hufuata Kariakoo. hata wa Congo pia huja Kariakoo.
Procedure si nyingi kwa sababu ni vitu vipo online, si mambo ya leo upo ofisi hii, kesho ile. Na gharama za kufungua biashara, ni 0. Labda kama utahitaji msaada kama stationary.
Raia wa EAC hawana masharti,unaona panakufaa, kaa. Kuna chochote unachoweza kufanya, uko huru.
Regulations, naomba unieleze unamaanisha nini
Kwa Yale usio na majibu nayo leoNimeelewa ufafanuzi wako, Nikisema regulations namaanisha napswa kwenda ofisi gani kuomba kufungua biashara Mfano.
Tanzania ukitaka fungua redio station inabidi Uende Tcra ndipo Uende brela
Nachohisi mmemuelewa vibaya aliewambia hivo.Vipi kuhusu mfumo wa elimu nchi Rwanda upoje, maana sisi huku tia maji tia maji mara tunaambiwa wahitimu wa vyuo vikuu waende VETA
Ok. Kwetu huendi popote. Internet inatosha. Registration zote ni online. Taasisi husika zimeunganishwa. Masaa 6, toka umeanza process, umeshapata kila kinachohitajika kuanza biashara.Nimeelewa ufafanuzi wako, Nikisema regulations namaanisha napswa kwenda ofisi gani kuomba kufungua biashara Mfano.
Tanzania ukitaka fungua redio station inabidi Uende Tcra ndipo Uende brela
Kikubwa unikumbushe, kama kweli una nia. Maana kichwa changu mtandaoni ni kama kalakana la TAZARAKwa Yale usio na majibu nayo leo
Pls ukiweza fuatilia na kuleta majibu on later days it's okay
Asante sana mkuu, vipi Kuna ukweli wowote juu ya unafuu wa Internet Kutoka Starlink ukilinganisha na Hawa makampuni ya simu kama MTN maana tunaona tunapigwa sana na Hawa wenye Bando za wiki halafu ukifungua data Bando linakata ndani ya nusu saaNachohisi mmemuelewa vibaya aliewambia hivo.
Tatizo la mifumo ya elimu ya hizi nchi zetu, watu wanasoma ili waajiliwe.
Hawasomi kujiajili. Na nahisi lengo la aliyesema kwenda VETA, ni kutafuta fani inayoweza kukusaidia pale unapokwama kuajiliwa.
Ukipitia VETA, kuna kitu utajifunza na utaweza kuthubutu, lakini uwe na vyeti tu, af Division zenu za failure, utaishia wapi ndugu! Kwetu, kuna mfumo huo, na wanaobahatika kufika, wapo vizuri, iwe kwenye soko la ajira.
Natamani serikali yenu ingeruhusu tulete vijana wetu wakapate hizo nafasi mnazochezea.
StarLink ni habari nyingine mkuu.Asante sana mkuu, vipi Kuna ukweli wowote juu ya unafuu wa Internet Kutoka Starlink ukilinganisha na Hawa makampuni ya simu kama MTN maana tunaona tunapigwa sana na Hawa wenye Bando za wiki halafu ukifungua data Bando linakata ndani ya nusu saa
Nia ipo Ila lazma nipime upepo kwanza je inafanya kaziKikubwa unikumbushe, kama kweli una nia. Maana kichwa changu mtandaoni ni kama kalakana la TAZARA
Rwanda kwenye swala la usalama inaanza na inajifuata. Utakumbana na changamoto nyingine za kimaisha,ila usalama wako na mali zako,sahau. unapeleleza kitu gani labda! Ukifanya kosa,utaadhibiwa kwa kosa lako,kama ilivyo kwa raia wengine. Na ukiwa mgeni, una thamani kuliko mzawa. Watadili na wewe tu pale unapoonekana kuhatalisha usalama, basi. Umelewa,utajua mwenyewe. Ni sawa na mnyarwanda aje kwenu, aanze kuchambua serikali isiyomhusu. Ila, wewe ni mtanzania, inajulikana, nani atakufatilia? HayupoNia ipo Ila lazma nipime upepo kwanza je inafanya kazi
Biashara ni All about profit so huo uwiano wa bei za fremu, mzunguka wa kazi,
Aina ya nguo zinazopendwa huko
Finally
Hali iliyojengeka vichwani kwa baadhi ya watu ni kuwa.. Rwanda ni kama North Korea yaan ukiwa Huko unahisiwa kama mpelelez, hivyo ukifanya mistake kidogo tu polisi unao maana walikutilia shaka Tangu siku unaingia.. Yaan upo monitored bila ww kujua.
Kuhusu hilo.