VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
- Thread starter
-
- #361
Kwa kuwa Tanzania ni kubwa kuliko Rwanda, kwa nini isiunganishwe na Rwanda, mikoa yake iongezeke kwa huo mmoja wa Rwanda?Kwakuwa Rwanda ni ndogo sana ni kwanini isifanywe mkoa wa Tanzania.
Umejibu vizur sana kaka mkubwa nimetosheka. Ila mbunye vip zinapatikana kwa usahihi ama1. Rwanda ni sehemu salama kwa kila mtu, endapo hujishughulishi na mambo ya ugaidi na wizi. Rwanda, ukiibiwa kitu labda uamue kupotezea, ukilipoti kwa muda, hata miaka iwe 10, kitapatikana tu. Kikubwa uwe na vielelezo vya kujitosheleza kuwa ni mali yako halali.
Kuhusu soko la mazao, chakula kinahitajika. Kama una uwezo, soko ni la uhakika.
2. Rwanda hatuna cha muwekezaji mkubwa wala mdogo, kama wewe ni mkazi wa nchi mojawapo za jumuia ya Afrika Mashariki. Una mtaji wako, una kitambulisho chako(kwa ajiri ya TIN Number), utafanya biashara. Rwanda hakuna cha huyu haruhusiwi kufanya hiki wala kile, kwa wakazi wa EAC.
Kodi inategemea na mtaji, mauzo na aina ya biashara. Ila kodi hazikwepeki. Rwanda kwa sasa mfumo wa kielektroniki ndo umeshamili, mambo ya shortcut, ni ya kulenga kwa manati. Ila, ukitaka uishi vizuri,bila bughda, fuata taratibu. maana adhabu za kukwepa kodi, utajuta.
3. Kuhusu hili, kwa kweli sijui kivile, labda nitafute taarifa za uhakika. Ila, kyutokana na bei ya ardhi na mlivyozoea nyie, sijui kama kuna mtanzania ana mpango wa kununua ardhi Rwanda. Ila, kiwanja kama makazi tu, haina tatizo. Changamoto itakuja kwenye hati miliki. Mfumo unakubali tu ID za Rwanda, kwa watu wa nje, sijajua itakuwaje. Ila, kama ukioa au kuolewa, mwenawako anaandikishwa, na mkioana kishelia, lazima na wewe utatambulika kama mmiliki kwa asilimia 50.
Ukionyesha nia ya kukaa hawana makuu mzee.
4. Biashara hizo kubwa kubwa, labda uweze kudeal na taasisi kubwa. Maana si kama kwenu mtu anawanunulia magari demu zake 5, unanunua hili, ukilichoka unapaki unachukua lingine.
Kwanza magari ya kuanzia miaka 20 na kuendelea, ushuru wake ni mkubwa sana.
Pili, Rwanda inajaribu kupunguza umiliki wa magari, kwa sababu ya miundo mbinu. Hivyo, magari yanayohitajika, si mengi kivile. Magari mapya, gharama ni kubwa, wenye uwezo ni wachache. Mtumba, ndo hivo vikwazo ni vingi.
Ndo maana watanzania wengi akili zenu ni za bandia. yaani, vitu vyoooote, umewaza ukaona mbunye tuuuu! Shenyeta siku moja na wewe utashenyetwa tu.Umejibu vizur sana kaka mkubwa nimetosheka. Ila mbunye vip zinapatikana kwa usahihi ama
Vile umeongelea Watanzania na wew ni mtanzania sio mbaya sana. Tuchakate mbususu😁Ndo maana watanzania wengi akili zenu ni za bandia. yaani, vitu vyoooote, umewaza ukaona mbunye tuuuu! Shenyeta siku moja na wewe utashenyetwa tu.
Anyway, sijui usahihi unamaanisha nini.
Ila, ukikaa, kama unataka za sitara, utapata. Ukiwa unapitapita tu, zile za kupima ndo utapata.
Acha uongo.Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watu
Thubutu. Mi mnyarwanda Og, mtanzania wa mchongoNi
Vile umeongelea Watanzania na wew ni mtanzania sio mbaya sana. Tuchakate mbususu😁
Utabishana nae kama anaijua!!! Kama ni mwenyeji Mwanza( Nadhani ukitoka Buhongwa kwenda Buzuruga) Kigali umesha imaliza.Acha uongo.
Rwanda yote ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Tanga.
Hiyo Kigali ni kisehemu kidogo sana, labda ulingnishe na Magufuli City
Unajua wapi na wapi mkuu! Kutoka Kabuga-Giti cy'inyoni au Kabuga-Nyabarongo, na pikipiki, ni zaidi ya dakika 25-30?Nakataa, kigali kubwa karibia Mwanza, kahama bado sana kuilinganisha na chigali kwa miundombinu mpaka idadi ya watu
Hao wasio na cha kuuliza ndo wananichosha😃Hahahahaha waache waulize. Wakati mwingine pia inasaidia kujua watu wana pesa za kuchezea, akili zao zimekaeje. Kuna maswali mhimu na ya maana, kuna na wengine kama vile hawana cha kuuliza
Jiheshimu.Na ndio sifa ya mjinga kutaka kuelevuka kwa kile ambacho hakijui so, tuliza simi lako refu Msimbe wewe, mtu kasema maswali yeyote hata ya utani wewe unakuja speed kama malaya bar kaona bia
Rwanda wanataka kuimega Tanzania kama wanavyofanya DRC wanataka kupanua nchi yao.waambie wasijaribu Watapigwa vibaya.Hivi, kila mtu ameshakuwa mwanasiasa na msemaji wa jeshi huko? Unachokiita uchokozi ni nini? Kama imechokozwa, ilishindwa kujibu?
Tumieni akili zenu kwa mambo yanayojenga taifa lenu, yanayoweza kuwa na manufaa hata kwa bara kwa ujumla. Misifa mingine ya kijinga tu.
Kwa taarifa yako, kama unajua haijawahi kutokea, na haitawahi kutokea Tanzania ikaingia vitani na Rwanda. Kwa lipi labda?
Ndio, wapo.Hivi Rwanda kuna wazee wafupi ambao ni watutsi
Weka ushahidi mezaniRwanda wanataka kuimega Tanzania kama wanavyofanya DRC wanataka kupanua nchi yao.waambie wasijaribu Watapigwa vibaya.
Rwanda haitufikii hata kidogo katika umakini wetu wa kumsifia Mama Samia na kushabikia Yanga na Simba.Rwanda ipo makini kuliko sisi watanzania
Acha uongo.
Rwanda yote ukubwa wake ni sawa na mkoa wa Tanga.
Hiyo Kigali ni kisehemu kidogo sana, labda ulingnishe na Magufuli City
Rwanda wanataka kuimega Tanzania kama wanavyofanya DRC wanataka kupanua nchi yao.waambie wasijaribu Watapigwa vibaya.
Kwakuwa Rwanda ni ndogo sana ni kwanini isifanywe mkoa wa Tanzania.