BRAZA BRAZA
Member
- Mar 6, 2025
- 15
- 11
lakini ni vizuri kama uanze chekechekea, kwasababu uelewa wako uko chini sana. little knowledge is very dangeroussafi ila mauaji ya 1994 wahutu ndio waliuliwa wengi ndio maana walishindwa vita pia mauaji walianzisha watutsi kwa kuuua marais wahutu mara kadhaaa na waliporudia mwaka 1994 wahutu waliona enough is enough , wakaamua kulianzisha
Umenena maneno ya hakika !Mimi ni mtanzania ila nakupinga kwa sababu uzoefu upo zamani na si wa kisasa. Miaka ya 80 tulikuwa na jeshi imara maana tulikuwa na uzoefu ila kwa sasa hapana. Tumeshindwa kwenda msumbiji kupambana na magaidi waliowaua watanzania waliokuwa wanaishi huko ? Rais marehemu JPM alikuwa analindwa na wanajeshi wa Rwanda. Tumeangalia kanali wa jeshi akikimbia vita Goma kupitia Rwanda. Haya ni matokeo ya serikali yetu kubweteka kwa muda mrefu. Amiri mkuu wa majeshi naliambia jeshi lijiandae na uchaguzi 2025? Mabasi ya Jeshi yanatumika kubeba madiwani wa CCM ? Hatuna jeshi kwa sasa jeshi tuliikkuwa nalo miaka ya 80.
Cha kukuongezea hapa, kwenye vita kuna udalali. Haijawahi kutokea,na haitawahi kutokea,amili jeshi apaishe ndege zilizojaa wanajeshi na vifaa bila faida.Mimi ni mtanzania ila nakupinga kwa sababu uzoefu upo zamani na si wa kisasa. Miaka ya 80 tulikuwa na jeshi imara maana tulikuwa na uzoefu ila kwa sasa hapana. Tumeshindwa kwenda msumbiji kupambana na magaidi waliowaua watanzania waliokuwa wanaishi huko ? Rais marehemu JPM alikuwa analindwa na wanajeshi wa Rwanda. Tumeangalia kanali wa jeshi akikimbia vita Goma kupitia Rwanda. Haya ni matokeo ya serikali yetu kubweteka kwa muda mrefu. Amiri mkuu wa majeshi naliambia jeshi lijiandae na uchaguzi 2025? Mabasi ya Jeshi yanatumika kubeba madiwani wa CCM ? Hatuna jeshi kwa sasa jeshi tuliikkuwa nalo miaka ya 80.
Nimeshatembelea vikosi vya jeshi vyote nchini kasoro viwili na kufanya tenda za wizara ya ulinzi siongei nadharia ndugu yangu. Tanzania hatuna jeshi.Cha kukuongezea hapa, kwenye vita kuna udalali. Haijawahi kutokea,na haitawahi kutokea,amili jeshi apaishe ndege zilizojaa wanajeshi na vifaa bila faida.
Jambo la pili,hata uwanjani kati ya timu za mpira, mchezaji huumia,wengine tumewaona wakikata upepo kabisa. Hivyo,unaeenda kupambana nae, bunduki zake hazitoi njegere.
Kuna nchi kifo cha mwanajeshi mmoja,nje ya ncho yake,kinahitaji maelezo ya kujitosheleza. Kasoro tu pale ambapo kiongozi ana sababu zake.
South Africa umeiona (SAMIDRC)kwa ujumla. M23 wasingekuwa waungwana,jiulize wanajeshi waliotekwa leo hii wangekuwa wapi.
Tanzania haijawahi kuchokozwa,toka enzi za Idd Amin,na sidhani kama kuna mtu atawahi. Hakuna jirani mwenye ubavu huo.
Hivyo,pamoja na kukosa experience hiyo ardhini, angani hakika mpo vizuri. Miaka ya nyuma kuna FastJet kama 4 niliona zikifukuzana Mwanza🤣🤣🤣,hakika na mpya zipo. Zikitumika vizuri, zinafanya kazi.
Ila sasa, mtu unaanzisha vita,kuua raia ili iweje?
Mwisho na nikumbushie, kila upande unaoingia vitani, ujue kwamba kuna uharibifu mkubwa utatokea.
Magu takataka tu. Ni wajinga tu ambao ni wengi ndiyo walimuona shujaa. Don't underestimate the power of fools in large groupsYaani umehit ukweli wenyewe kama ilivyokuwa kwa Magu kwa watanzania walio wengi.
Siyo kweli. Sativa alikuwa anacheat na mke wa Polisi. Polisi tu walitumia madaraka vibaya kwa kumjeruhi na kumtupa Katavi. Magufuli alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha wasiojulikana chini ya Makonda. Ndicho lilomshambulia Tundu LissuMbona wewe ukimkosoa Mama unaenda kupigwa risasi na kutupwa mbugani Katavi ili uliwe na Fisi wa Mama?
Wewe bwege acha dharau. Wewe unafanya biashara ya tenda za jeshi kupeleka maharage, mchele na unga. Unakutana na procument officer wa kikosi na ukirudi nyumbani kwako unatamba kwa mkeo kuwa leo nilikuwa jeshini. Nyooooko!! Hulijui jeshi bado wewe pimbi tuNimeshatembelea vikosi vya jeshi vyote nchini kasoro viwili na kufanya tenda za wizara ya ulinzi siongei nadharia ndugu yangu. Tanzania hatuna jeshi.
Jeshi wapi wakati mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda na Uganda ? Mbona unaleta mambo ambayo hayapo nenda hata hapo Lugalo ingia ndani utaona uozo mpaka utashangaa ? Nyie mnatetea ujinga wakati kila kitu kipo wazi.Wewe bwege acha dharau. Wewe unafanya biashara ya tenda za jeshi kupeleka maharage, mchele na unga. Unakutana na procument officer wa kikosi na ukirudi nyumbani kwako unatamba kwa mkeo kuwa leo nilikuwa jeshini. Nyooooko!! Hulijui jeshi bado wewe pimbi tu
Acha upotoshaji.Siyo kweli. Sativa alikuwa anacheat na mke wa Polisi. Polisi tu walitumia madaraka vibaya kwa kumjeruhi na kumtupa Katavi. Magufuli alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha wasiojulikana chini ya Makonda. Ndicho lilomshambulia Tundu Lissu
Watutsi siyo kabila, ni tabaka. Wamekuja kuwa kabila tu kutokana na uuhaini wa wakoloni. Waligeuza matabaka hayo kuwa kabila, ili waweze kutawala warundi, na wanyarwanda. Kwa hiyo, ilikuwepo jamii kubwa ya watu, wao(Wabelgiji) ndo waliwagawa kwa makundi. Kwa hiyo, asili yao ni Rwanda.Asili ya Watusi ni wapi? Walihamia au ni wenyeji wa asili wa Rwanda?
Nani kakuambia Lugalo ni military Base mpaka sasa? Ingekuwa military base unadhani wangeruhusu kujenga zile frame za maduka??Jeshi wapi wakati mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda na Uganda ? Mbona unaleta mambo ambayo hayapo nenda hata hapo Lugalo ingia ndani utaona uozo mpaka utashangaa ? Nyie mnatetea ujinga wakati kila kitu kipo wazi.
Wewe mnyarwanda kama hujui kaa kimya.Acha upotoshaji.
Kwa hiyo, mkuu wa majeshi haruhusiwi kuwa na ndugu nje ya nchi?! AlooooJeshi wapi wakati mkuu wa majeshi ana ndugu Rwanda na Uganda ? Mbona unaleta mambo ambayo hayapo nenda hata hapo Lugalo ingia ndani utaona uozo mpaka utashangaa ? Nyie mnatetea ujinga wakati kila kitu kipo wazi.
Huko kote nimepita ni ujinga mtupu mpaka unajiuliza hivi tunawapa jeshi hela kweli ?Nani kakuambia Lugalo ni military Base mpaka sasa? Ingekuwa military base unadhani wangeruhusu kujenga zile frame za maduka??
Endeleeni kuelewa hivyo hivyo lakini hatuwezi kuwambia nini kinaendelea Msata na Ngerengere
Leta hapa mwanajeshi wa rwanda mwenye asili ya Tanzania au Kenya ?Kwa hiyo, mkuu wa majeshi haruhusiwi kuwa na ndugu nje ya nchi?! Aloooo
Basi poleni kama mlikosea kuchagua wakuu wa majeshi. Japo, hiyo ni mihemko tuuuuu. Waliowachagua walijua wanakidhi vigezo, wanaoongozwa nao,hawajalalamika, sasa wewe raia, unalalamika nini!Leta hapa mwanajeshi wa rwanda mwenye asili ya Tanzania au Kenya ?
Yaani umesema nilichokuwa nataka kumaanisha kuwa Rwanda ipo makini kuliko sisi watanzania asante kwa pole nimeshapoa.Basi poleni kama mlikosea kuchagua wakuu wa majeshi. Japo, hiyo ni mihemko tuuuuu. Waliowachagua walijua wanakidhi vigezo, wanaoongozwa nao,hawajalalamika, sasa wewe raia, unalalamika nini!
Sio kweli Mimi nimeingia rwanda Mara kibao tu na razima walikuwa waniulize una kwenda kufanya nn na Utakaa muda gani border ya lusumoUna chochote unachojiuliza kuhusu Rwanda?
Una chochote unachotaka kujua kiundani zaidi?
Una chochote ulichokisikia na bado umebaki njia panda!!
Iwe jambo la maana, iwe utani, iwe siasa, chochote, uliza utajibiwa hapa hapa.
Rwanda ndo nchi pekee barani Afrika, ukiingia huulizwi utakaa siku ngapi na unaenda kufanya nini. Kama unataka, funga mizigo yako hamia, kama una biashara yako, fanya, kama una ujuzi wako, omba ajira, ukipewa hakuna wa kuja kuuliza mbona huyu si mnyarwanda, kasoro serikalini tu. Ila na penyewe ikiwa una ujuzi ambao wanyarwanda hawana, kupata ajira ni simple.
Yaani umesema nilichokuwa nataka kumaanisha kuwa Rwanda ipo makini kuliko sisi watanzania asante kwa pole nimeshapoa.
Mara ya mwisho umeingia lini? Je, umepewa siku ngapi baada ya kuulizwa maswala hayo? Ulipotoka, uliwahi kuulizwa kwa nini umechelewa?Sio kweli Mimi nimeingia rwanda Mara kibao tu na razima walikuwa waniulize una kwenda kufanya nn na Utakaa muda gani border ya lusumo