Uliza chochote kuhusu Rwanda

Kweni Utusi ni dhambi?!
 
Sasa nimekubali kuishi Rwanda sawa na kuishi jela. Poleni sana Wanyarwanda, kitu kinaitwa uhuru nyinyi hamkifahamu. Na huyo Tall anaonekana siyo wa kufa leo, mtaendelea kuishi kisengesenge tu hamna namna
 
Sasa nimekubali kuishi Rwanda sawa na kuishi jela. Poleni sana Wanyarwanda, kitu kinaitwa uhuru nyinyi hamkifahamu. Na huyo Tall anaonekana siyo wa kufa leo, mtaendelea kuishi kisengesenge tu hamna namna
-Kumbuka, maisha yenu na maisha yetu ni vitu viwili tofauti.

Na je, unachokiita jera au kukosa uhuru ni kitu gani?
 
-Kumbuka, maisha yenu na maisha yetu ni vitu viwili tofauti.

Na je, unachokiita jera au kukosa uhuru ni kitu gani?
Binadamu ambaye umeumbwa kwa akili zako, pale unapokosa uhuru wa ku express opinion yako.

Maana kwenye ile post namba 242 kuwa kuna maspy ambao wakikusikia unaongea mambo wasiyoyapenda wanaweza kukuonya, ukiendelea kuongea wanaweza kukukamata. Sasa tofauti ya Rwanda na gereza iko wapi? Au mnafugwa kama broiler na kazi yenu ni kumtukuza huyu mrefu wenu?
 
Acha tuishi hivyo kwa sababu tunajua uhuru ukipitiliza unachozaa.
Siku zote uhuru wa kujieleza, unapokuwa kero kwa wenzako, lazima utazaa jinai.
Tanzania yenye huo uhuru wa kujieleza, mbona malalamiko ya watu wasiojulikana na watu kutekwa hayaishi?

Kukosoa kisicho sawa, kistaarabu,utasikika.

Samia mwenyewe aliwahi kusema, kwamba anaweza akakusamehe,lakini watu wake wakakushughulikia. maana yake ni nini> Na alikuwa anaongelea nini?

Yote kwa yote,kumbuka historia ya Rwanda ni ya kipekee, miaka 30 ni muda mufupi sana. Hivyo ukiwapa uhuru watu, watafanya wanavyotaka. Sasa basi, kubalance kunahitajika.
 
Mbona hujaniambia maana ya neno Rwanda
 
-Kumbuka, maisha yenu na maisha yetu ni vitu viwili tofauti.

Na je, unachokiita jera au kukosa uhuru ni kitu gani?
Mtutsi yeyote ni mtu mjivuni mwenye kiburi na majigambo. Pia ni wabaguzi wakubwa. Hua wanaona wao tu ndio wanajua wengine hawajui kitu. Nchi jirani lazima zishirikiane kuondosha utawala wa kikaburi wa watutsi Rwanda vinginevyo tutakuja kupata majuto makubwa. Kwa mfano tuanze kuiwekea rwanda vikwazo vya bandari na kufunga mpaka. Tujiimarishe kijeshi na kuwasaidia wapinzani mbari ya kibantu walio wengi kumng'oa Kagame kama tulivyofanya Burundi. Tusiogope hawa Tz tulishawahi kuwagaragaza M23 wakati wa Kikwette, sema uzembe na kupenda rushwa kwa serikali ya Tshisekedi ndio wamerejea.

Kagame kiburi kinamchanganya. Sasa Afrika Kusini kuunga mkono Congo kuna kosa lolote? Yeye kwa akili yake awaunge wabaguzi watutsi M23 ndio sahihi? Au M23 tu ndio watu Congo wengine mbari ya kibantu sio?
 
Magufuli alikuwa muuaji na mwizi tu, unakosea sana kumuweka na hao mabingwa. Meza ya Magufuli ni ile waliopo kina Adolph Hitler, Mobutu, Iddi Amin na Bokassa
Hahahahaha siku zote mi sijawahi ona rais wa Tanzania anaesifiwa kufanya mema. Wote mnakosea kuchagua au vipi? Je, unadhani uongozi wa kisiasa ni hisia? Nilichojaribu kumaanisha kumuweka yeye, ni hiyo dhamila yake ya kuondoa ukoloni. Kwamba tusipopewa misaada, maisha yatasimama. Kile kidogo ulicho nacho ukiweza kukitumia, kitakuepusha na mambo mengi.
 
Noma sana!
 
Mbona alishindwa kuwaajiri walimu ? Magufuli miezi ya karibu na kifo chake kulikuwa hakuna hela serikalini mpaka Rostam akatafutwa aje aokoe jahazi. Kwa nini alilamba matapishi na kumkaribisha Rostam na kumruhusu kufungua kiwanda cha gesi na kumpa kiwanda cha ngozi morogoro kama zawadi. Na hadi kamuahidi akigombea ubunge Morogoro atampa support. Kama Tanzania ni nchi tajiri kwa nini alishindwa kuongeza mishahara miaka yake yote ya uongozi.
 
Ndoto yangu ni kuzaa Na mnyarwanda uzuri naongea kishubi cha ngara najua tunasikilizana vizuri.

Kiongozi gani, mmoja, aliewahi kutatua kila tatizo la nchi yake kila kitu kikaonekana sawa?
 
Yaani umehit ukweli wenyewe kama ilivyokuwa kwa Magu kwa watanzania walio wengi.
 
Acha ulongo ....
 
Sasa nimekubali kuishi Rwanda sawa na kuishi jela. Poleni sana Wanyarwanda, kitu kinaitwa uhuru nyinyi hamkifahamu. Na huyo Tall anaonekana siyo wa kufa leo, mtaendelea kuishi kisengesenge tu hamna namna
Mbona wewe ukimkosoa Mama unaenda kupigwa risasi na kutupwa mbugani Katavi ili uliwe na Fisi wa Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…