Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.

Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.

Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.

Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.

Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako halijakaa sawa.

Kutoka mkoa hadi mkoa ni sekunde moja tu. Labda ungeuliza kutoka mji hadi mji.

Halafu unasifia mtu kukiuka sheria na kanuni za barabarani? Huo ni ujinga si uhodari wala sifa njema, ni sifa za kijinga.
 
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.

Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.

Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.

Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.

Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?

Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa,......saa

Ulitumia saa ngapi....
 
Nafikiri kwa wale mnaoishi Tabora mnamjuwa dereva alikuwa wa wilaya ya Uyui anaitwa Masha, 2007 July tumetoka dara na gari ya Mkuu wa wilaya il ilienda kwa kuchukuliwa mpya hivi alikabidhiwa saa 4 akadanganya kuwa ameondoka atalala Dodoma kumbe tumebaki Dar kesho yake tulitoka Dar 12:00 asubuhi saa 8 tupo Ipuli tunakula nyama tu
 
Mbeya Moro tulitumia masaa matano Land Cruiser VXR V8 ya 2019. Ngoma iliwashwa taa trafiki wote walikuwa wanaruhusu tu halafu ilikuwa nyeusi ya Serikali Kuu
 
Zile, Allys Zilkuwa zinavioo ukikaa ndani wa nje anakuona Hadi miguuni hivi sijui zilikuwa NISSAN sijui SCANIA tulitoka Mwanza sa12 asubuhi sa1:38 tupo Dar tena hapa njia ya Singida ilikuwa vumbi ndio wanajenga jenga Hadi Manyoni pale Chuma ilikuwa inapigwa Hadi unafurahi!!!

Typed Using KIDOLE
Mkuu hawa jamaa walikuwaga wehu sana barabarani kipindi hicho ndio zilikuwaga basi zangu. Nakumbuka kuna gari lingine lilikua linaitwa Super Najimunisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar Arusha skuwahi jutia panda bus Kama last week jtano,nlikua dar nikamaliza shughuli iliyonipeleka jtano saa 6 mchana nikasema na huu ugonjwa wa corona sitamani kulala dar kwa leo tena,nikaenda stendi nikapata gari ya mwisho Osaka...tukatoka saa 7 mchana.cha kwanza kumbe ile gari ya mwisho naona wanapandaga walevi tupu,ogopa mnafika mombo kula mtu anashindwa kupanda kurudi kwenye gari kisa kaongeza geji(konyagi) ,gari haikimbii kabisa nlikuja fika Arusha saa 9 usiku wa manane nlijuta sana na skuwahi kabla kupanda magari ya namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasebosa enzi hizo Tabora to Mbeya njia ya chunya tulindoka leo saa 12 kamili tukafika kesho saa 2 asubuhi basi ilikua inachemsha balaa, kidogo tunaenda afu tunasimama tunalisubiri lipoe
 
Dar to Dom na matei ya Singida (ilikuwa mpya) tulifika saa 7 na dk 13 sijasahau hadi leo na Dar tulitoka 12 na nusu

Shabiby Dar to Dom saa 11 hii siku nilichukia na tulitoka Dar 12 na nusu..dereva alikuwa na kitambi mpaka nikatamani nikamfundishe jinsi ya kukanyaga mafuta

Dar to Arusha na premio masaa 4 na dk kadhaa

Dar to Musoma, nilitumia ungo wa bibi kwa dk 20 tu 😀
😅😅 ungo ilikuwa speed inasoma ngap pale kiooni ?
 
Back
Top Bottom