Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Zile, Allys Zilkuwa zinavioo ukikaa ndani wa nje anakuona Hadi miguuni hivi sijui zilikuwa NISSAN sijui SCANIA tulitoka Mwanza sa12 asubuhi sa1:38 tupo Dar tena hapa njia ya Singida ilikuwa vumbi ndio wanajenga jenga Hadi Manyoni pale Chuma ilikuwa inapigwa Hadi unafurahi!!!

Typed Using KIDOLE
 
Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi 🚜🚜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi
ama kwa hakika hii comment ime nifanya nicheke kwa kwel siku ya leo

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi
Aisee,ulitumia masaa mangapi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar to Dom na matei ya Singida (ilikuwa mpya) tulifika saa 7 na dk 13 sijasahau hadi leo na Dar tulitoka 12 na nusu

Shabiby Dar to Dom saa 11 hii siku nilichukia na tulitoka Dar 12 na nusu..dereva alikuwa na kitambi mpaka nikatamani nikamfundishe jinsi ya kukanyaga mafuta

Dar to Arusha na premio masaa 4 na dk kadhaa

Dar to Musoma, nilitumia ungo wa bibi kwa dk 20 tu
Hahahah,mimi nakumbuka mwaka jana nilitoka Dom sa 12 jioni na Happy nation ya Mwanza,saa 5 na nusu chuma imeingia Mbezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom