monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,297
- 1,861
- Thread starter
- #41
Hii ilikua sio mchezoEnzi hizo basi la champion Mwanza to Dar kutoka sa 12 asubuhi Dar tuliingia sa 12:30 Jioni.
Bendera ya raisi auMkuu inategemeana na aina ya V8,imagine una V8 VXR ina bendera Dar to Mbeya unachukua masaa hayo.
Hapo hawezi kuamini,vipu hukupasha kiporo mkuuCrown nilitoka saa tano na nusu usiku Dar nikaingia Dodoma saa kumi na dakika 20 wife kalala namwambia tumefika haamini

Gari ikitembea sana kuna raha yakeZile, Allys Zilkuwa zinavioo ukikaa ndani wa nje anakuona Hadi miguuni hivi sijui zilikuwa NISSAN sijui SCANIA tulitoka Mwanza sa12 asubuhi sa1:38 tupo Dar tena hapa njia ya Singida ilikuwa vumbi ndio wanajenga jenga Hadi Manyoni pale Chuma ilikuwa inapigwa Hadi unafurahi!!!
Typed Using KIDOLE
Uzuri njia ya Dom imenyooka sanabus la Trinity tulitoka dar saa kumi na mbili nkafika dodoma saa sita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama mlitumia masaa mengi sanaArusha-bukba
Bus arusha express
Muda wa kuondoka saa kumi na mbili asubuhi
Muda wa kufika saa tano usiku huwa inaenda mpaka saa saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio
Dar - mtwara siku zote natumia masaa matano ila wakati wa kurudi nachemsha natumia six hours sijajua sababu hadi leo ( mnyama voltz-manual)
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ya saa saba gari iliwaka moto ilikuwa inatoka bk
Duh,walifariki wangapiHiyo ya saa saba gari iliwaka moto ilikuwa inatoka bk
Ila kwa saa tano ni kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungo wa bibi ako mbovu...20 mins khaa😂😂😂😂Dar to Dom na matei ya Singida (ilikuwa mpya) tulifika saa 7 na dk 13 sijasahau hadi leo na Dar tulitoka 12 na nusu
Shabiby Dar to Dom saa 11 hii siku nilichukia na tulitoka Dar 12 na nusu..dereva alikuwa na kitambi mpaka nikatamani nikamfundishe jinsi ya kukanyaga mafuta
Dar to Arusha na premio masaa 4 na dk kadhaa
Dar to Musoma, nilitumia ungo wa bibi kwa dk 20 tu 😀