Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Hii chuma imetumia masaa 19 Dar To Simiyu ikiwa na mzigo wa mafuta lita elfu 35
20200522_103910.jpg
 
Iringa kwenda Dar,

Ilikua muhim sana nifike dar siku inayofuata baada ya kupokea simu mida ya Sa9 hivi, wakat huo hakuna mabasi yanayotoka sumbawanga.

Bas nikashuka zangu ipogolo pale mida ya sa12 napata gari, ilikua ni Lori (Scania R420) linatoka Congo na Mzigo wa Coper Kama tan30.

Yule jamaa alitembea na gari Kama halina mzigo sa6:30 nilkua nashuka kiamara mwisho.
Tulibadilshana namba nikawa nachati nae Mara chache, baada ya miezi Kama 6 hivi baadae nikuja sikia kapata ajari maeneo ya igawa akiwa safarin kwenda Congo
 
Akafariki?
 
Kutoka kibaha Hadi kigamboni natumia 3hrs daily kwa usafir wa kuunga
 
Dar - mtwara siku zote natumia masaa matano ila wakati wa kurudi nachemsha natumia six hours sijajua sababu hadi leo ( mnyama voltz-manual)

Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu hata mimi huwa najiulizaga kwanini kipande cha Nangurukuru -Lindi wakati wa kwenda unawahi kufika ila ukiwa unakuja Dar hua kinakua mbali na kina chosha kinoma.
 
Back
Top Bottom