Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Ulitumia masaa mangapi Mkoa hadi Mkoa kwa gari/bus

Hiyo siku niliyopanda LX yule Mzee hakua na roho maana alaikua akiniambia mwanangu hapa natakiwa kabla ya saa 6 niwe Lindi Alfajiri nirudi saa 2 asubuhi inikutie Dar kisha jioni tunaenda kigoma.

Sikufahamu alikua akiwafuata wakina nani maana gari ni ya shirika DFP

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee ni wale madereva wazoefu sana basi. Akipewa VX V8 lile la 260kph ubaoni itakuwa balaa.
 
Swali lako halijakaa sawa.

Kutoka mkoa hadi mkoa ni sekunde moja tu. Labda ungeuliza kutoka mji hadi mji.

Halafu unasifia mtu kukiuka sheria na kanuni za barabarani? Huo ni ujinga si uhodari wala sifa njema, ni sifa za kijinga.
Unazeeka kama le mutuz. Kama hujuwi kitu si mbaya kuuliza kuliko ujifanye unajuwa kila kitu.

Huko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Dar to mby inaweza kukuchukuwa masaa 7, kwa wale wazee wa minimum speed 160, usiku 50,50 vibao, unaenda 120 sema bams zitakutesa!polipoli 170+ Kama unaijua barabara!
Huenda ikawa hivyo.
 
Back
Top Bottom