God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,531


iringa-makambako, IT-sikumbuk mda ile fumba fumbua makambako,nashuka pale mk round about nikaenda kutupa boxer yangu maana niliachia n'nya kwa speed ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
787 km
😂😂😂iringa-makambako, IT-sikumbuk mda ile
fumba fumbua makambako,nashuka p
ale mk round about nikaenda kutupa boxer yangu maana niliachia n'nya kwa speed il
e.
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sana,Kuna watu wakikanyaga kibati hawafai,huwa najiuliza tairi likiimba pale mpo 160+ sijui inakuaje.
Kwahyo mkuu unashuka hapo makambakohatari sana,Kuna watu wakikanyaga kibati hawafai,huwa najiuliza tairi likiimba pale mpo 160+ sijui inakuaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trekta gani hilo mkuuMbeya -Musoma 28 Hrs sitosahau!
Zile, Allys Zilkuwa zinavioo ukikaa ndani wa nje anakuona Hadi miguuni hivi sijui zilikuwa NISSAN sijui SCANIA tulitoka Mwanza sa12 asubuhi sa1:38 tupo Dar tena hapa njia ya Singida ilikuwa vumbi ndio wanajenga jenga Hadi Manyoni pale Chuma ilikuwa inapigwa Hadi unafurahi!!!
Typed Using KIDOLE
Kwahyo mkuu unashuka hapo makambako
Jamaa anakuacha hali mbaya
![]()

hatari,nikatoka na kibegi changu nikitembea nahisi Kama nadunda dunda.Masaa 6 inawezekana
Hata ingekua VXS,Kwa barabara ipi ya kwenda speed kiasi hicho?Mkuu inategemeana na aina ya V8,imagine una V8 VXR ina bendera Dar to Mbeya unachukua masaa hayo.
Ukitembea mwendo wa 220km/h mbona unatusua freshi tu.
Suka alikuwa anaipiga gea kichiziMwaka jana 2019 December Nilitoka mafinga na Tank saa 12 jioni saa 11 alfajir nashuka uhasibu.
2018 nimetoka Dodoma na Landcruiser LX saa 10 jioni saa 2 usiku nashuka Kinyerezi na Land cruiser inaenda Lindi.
Sent using Jamii Forums mobile app