Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,727
dom to mto wa mbu pale na supu unakujwaaKwa ndege au?
dom to mto wa mbu pale na supu unakujwaaKwa ndege au?
Cha kushangaza sasa, halikuharibika hata mara moja (wakati tumefika Shinyanga tulisimama kama nusu saa), walikua speed kiasi ambacho tulisimamishwa na traffic kama mara 6.
Sielewi kwanini tulifika late.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mto wa Mbu aisee nikajua Arusha mjini!dom to mto wa mbu pale na supu unakujwaa
😅😅😅 duu inamaana kumbe nimetumia muda mrefu sana mtakuja kufaa nyie watuKumbe mto wa Mbu aisee nikajua Arusha mjini!
Tatizo hawa mbwiga wakishajua kukanyaga mafuta na breki wanajikuta ndo mapro wenyewe mpe manual sasa uone kama hajazima garihahahahah hatari jamani
Hahahah manual mziki mnene wewe, gari ambayo inataka full concetration yako. Ukizengua you are fucked!Tatizo hawa mbwiga wakishajua kukanyaga mafuta na breki wanajikuta ndo mapro wenyewe mpe manual sasa uone kama hajazima gari
Kha ulikuwa unakimbiza mwenge!!?Dar- Mwanza....Masaa 48,Nililala Dom,nikalala tenaTabora.
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili nilikua natoka Dar naenda Iringa (mara nyingi natumiaga IT) gari zinazotoka bandarini kwenda nchi zisizo na Bandari k.v Zambia, Congo, Rwanda. Nimefika pale Kibo napopandiaga gari sa 3 usiku nasubiri IT nianze safari. Hadi saa4 na nusu sikupata gari njia ya Iringa. Kwenye saa5 usiku ikaingia Toyota Brevis nyeupe pale Kibo. Nikanegotiate na dereva(Anaitwa Janaary ana asili ya kiarabu) mpaka Iringa akahitaji 20k nikampatia.
Saa 5 na dakika zake tukaanza safari wawili tu kuitafuta MK yeye akielekea Tunduma border ya Zambia. Ebana e sijawahi ona chuma inatembea kama ile siku wallah. Jamaa alitoka na mwendo wa kawaida tu mpaka Misugusugu akapiga kibali tayari kwa safari. Akaniambia Hapa Iringa nitaingia kwenye saa 10 nikaona haiwezekani akasema subiri uone.
Mimi nakakaa siti ya nyuma ili niweze kuona speed bar inavyoyoma. Jamaa katoka Misugusugu saa 5 na Nusu nachek katoka na speed 180kph nakumbuka ameshuka sana 140kph yani Moro tumeingia saa 6 kama na nusu hivi.
Gari zote za IT zilizokua njiani aliziovertake kwa speed ya ajabu. Saa 10 na robo Brevis imeingia Iringa pale sheli, nilipigwa na butwaa na sikuamini kama tulifika salama, na kila dereva aliyekuja pale sheli anamshangaa jamaa wewe ndiye ulinipita sehemu fulani aisee sikuwezi.
Tulitumia almost masaa ma5 Dar-Iringa, Je!ulitumia masaa mangapi kwa safari Mkoa mmoja hadi mwingine ambayo hutokuja kusahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki ngapi?Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi![]()
mto wa mbu mkuu
Usinikumbushe jinsi nilivyoendesha trekta kutoka DSM mpaka Sumbawanga, ili tu nipate hela ya kupandishia kwenye lori.
Nilidundadunda njia nzima, sijawahi kupata hela kwa taabu Kama nilivyoipata hiyo hela.
Shikamoo Swaraj trekta ya Muhindi![]()





Hawa vijana hawawezHahahah manual mziki mnene wewe, gari ambayo inataka full concetration yako. Ukizengua you are fucked!
Usiwaige hawaAlhamis au Ijumaa natoka zangu taratibu na Vitz yangu mpaka Singida .. ntatoka Dar asubuhi .. kwenye 50 nanyata .. sina haraka
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inawezekana vizuri tu. Mbeya -Dar V8 ya mkuu wa mkoa mwaka 2011 tulitumia masaa 6.
Sent using Jamii Forums mobile app