Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Satellite za asili ina zoom zaidi ya x ray 😄😄
bc524f10-32b6-473d-a845-029e86e398ea.jpeg
 
Mara ya mwisho kutapeliwa/kuibiwa ilikuwa mwaka 2000 Ubungo Stand ,walinipiga KANYABOYA ,nilinunua Kiwi kumbe ndani waliweka LAMI.

kudhulumiwa mara ya mwisho ilikuwa April -2024 ,nilidhulumiwa laki na elfu 10 ,kuna mtu aliniomba kisha atanirudishia mwisho wa mwezi ,sasa ni miaka miwili na nusu hajarudisha na kila siku naona naye wala hakumbushii kitu na mimi sijawahi kumuuliza ,najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba...Na ndipo aliponifunza mambo ya kumkopesha mtu.
Kiwi🤣
 
Hahaha hatari ,lilikuwa kopo lile kubwa ,alifunua akanionyesha ipo fresh imejaa safi sana ambayo ilikuwa halisi ,nilivyotoa pesa sikumbuki sh ngapi lakini kama kuanzia jero hadi buku ,nilivyompa akapiga chenji kota akanipa Mkebe wenye Lami ,ndani ya sekunde kufunua nikaona siyo ile ya mwanzo nataka nimfuate akatoka nduki halafu nilikuwa na begi nikasema poa mwache aende.

1790680148583.png
 
Mwachiluwi aisee alisoma huruma yangu akaanza mizinga kama yote..!!

Akaanza oooh dada sijala nna siku tatu na sijui nafanyaje? Mara pap napata pm ya shost angu naye kapigwa mzinga wa pesa na mwachi ili akapeleke fomu ya maombi ya kazi..!!

Nikajua hapa tayari kumekuchaaa jogoo lishawika chimwaga 😹

Alivyoona nimemshtukia akaanza kunichukia na maubuyu hanipi tena..!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani Mwachi
 
😹😹😹😹 huyu si mpishi wa JF?
 
Ilikuwa miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,ndugu mwana JF a.k.a anajiita "mtib...." alipost atatoa huduma ya kuuza vitabu alivyoviandika,nilimpa pesa anitumie hiko kitabu.Dah.! Chenga zikawa nyingi akagoma kurefund, kila niangaliapo post zake zinatonesha kidonda cha elfu 15 yangu.
😂😂😂
 
Mara ya mwisho kutapeliwa/kuibiwa ilikuwa mwaka 2000 Ubungo Stand ,walinipiga KANYABOYA ,nilinunua Kiwi kumbe ndani waliweka LAMI.

kudhulumiwa mara ya mwisho ilikuwa April -2024 ,nilidhulumiwa laki na elfu 10 ,kuna mtu aliniomba kisha atanirudishia mwisho wa mwezi ,sasa ni miaka miwili na nusu hajarudisha na kila siku naona naye wala hakumbushii kitu na mimi sijawahi kumuuliza ,najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba...Na ndipo aliponifunza mambo ya kumkopesha mtu.
najua kashajipunguza mwenyewe kwasababu hata akipata dharura ambayo inahitaji elfu 10 hawezi kuniomba😀😀😀
 
Hahaha hatari ,lilikuwa kopo lile kubwa ,alifunua akanionyesha ipo fresh imejaa safi sana ambayo ilikuwa halisi ,nilivyotoa pesa sikumbuki sh ngapi lakini kama kuanzia jero hadi buku ,nilivyompa akapiga chenji kota akanipa Mkebe wenye Lami ,ndani ya sekunde kufunua nikaona siyo ile ya mwanzo nataka nimfuate akatoka nduki halafu nilikuwa na begi nikasema poa mwache aende.

View attachment 3680321
😁😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom