Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Aise. Pole sana. Wakati mwingine akili huwa inakuwa kama imejam ndio unapigwa. Mimi mtandaoni, sijawahi tapeliwa.

Sema tu kuna mtu alipost anatafuta Mme, nikaanza chat nae baadae nikaja stuka huyu ni mwanaume🤣🤣 Nilimuona hamnazo kweli yule jamaa.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom